Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,416
In a way hajasema pengine unamchukia ozil, au hata kama amesema hivyo the bottom line ameongelea dini yake ambapo si mimi binafsi nimewahi kushuhudia comment zako za chuki juu ya uislam.Nimesikitika sana Huyo ndugu kusema namchukia Ozil, wakati nimeleta taarifa ,tena awali nilikuwa sijui kama hili la China lina athari kubwa
Na msimamo wangu nimekuwa nikisema Ozil yupo sahihi 100%
Lakini Na Arsenal wapo sahihi 100%.
Kwahiyo Arsenal wakajitenga wasiendelee kukosa mapato ambayo hayo hayo wanayatumia kumlipa Ozil
Angalia hapa chini Jinsi Arsenal alivyoanza kukosa mapato ...
View attachment 1595883View attachment 1595884
Covered by big six mkuu.Leeds United ndio wanaongoza katika timu zilizo cover distance kubwa.. Ikifuatiwa na Arsenal.
Au kwa kuwa sio timu kubwa?
Mkuu unasema timu???Correct. Hauwezi kuliangalia hili kwa wepesi. Timu zinaajiri 'social media consultants' na wana 'public relations officers' kwa ajili tu ya kuongezea mahusiano kati ya timu na mashabiki kwa nia ya kuongezea timu faida. Kuhusu wanawake wa ManUtd, sijui lakini nahisi kwamba kwa sababu ni wamarekani na huko kwao pia jezi za timu ya taifa za wanawake zimepita kwa mauzo jezi ya wanaume so kuna support kubwa kule. Nadhani media za USA imesupport sana mchezo wa wanawake kuliko maeneo mengine. Pia labda imechangiwa na hawa wawili kuwa wapenzi so wanapata support kutoka kwa wanaofuatilia mahusiano yao?
Wewe una matatizo makubwa sana , wapi nimeweka comment za Chuki ?In a way hajasema pengine unamchukia ozil, au hata kama amesema hivyo the bottom line ameongelea dini yake ambapo si mimi binafsi nimewahi kushuhudia comment zako za chuki juu ya uislam.
Namna hii pengine isajorsergio yupo sahihi kabisa. Na mimi naamini hivyo
Kwahiyo kwa xhaka hili tunaliona??? Kwa ozil??Sidhani kama ni fair kumfanyia Xhaka tathmini kwa mechi moja, huyu jamaa hata tukipata midfielders bora kuliko yeye ukweli utabaki kuwa ametubeba sana kipindi tumemtegemea na kuhitaji huduma yake.
Bado ninayo mkuu.Nilisema Ozil ni ngumu kucheza ukasema umescreenshot na utakuja kunikumbusha juu ya Ozil. Now wamemtoa kwenye kikosi che Europa ndiyo nikasema screenshot hauna kazi nayo as utakua hauna cha kukumbusha
Lakini mkuu game mentality hii itabidi unisaidie vizuri.Nilichokuwa namaanisha mimi ni issue ya game mentality tu mkuu.
Lakini recently yamewekwa wazi mambo mengine mengi ya nje ya uwanja ambayo ukiyaunganisha yanafanya issue yake kuwa very complicated.
Mzee hii issue wewe na gspain mtatoana roho 😄😄😄😄😄😄Halafu hili nakupinga kila siku Xhaka siyo AMF
In a way hajasema pengine unamchukia ozil, au hata kama amesema hivyo the bottom line ameongelea dini yake ambapo si mimi binafsi nimewahi kushuhudia comment zako za chuki juu ya uislam.
Namna hii pengine isajorsergio yupo sahihi kabisa. Na mimi naamini hivyo
Swali zuri sana mkuu.Sasa kwa nini unamnunua player kama huyu ambaye unajua ana weakness nyingi wakati hapo EPL kuna defenders wengi na ni wazuri ambao they are ready kuchezea Arsenal?
Arsenal haikuhitaji kununua defender then tuanze kumtoa kwa mkopo mara huku mara kule tulitaka beki ambaye atakuja direct kama Gabriel na kuingia 11 eleven direct sababu eneo la beki lilikuwa limeoza kabisa
Kama tunatumia record za UCL hapo sawa. Vigezo na masharti lakini since this century imeingia EPL haina mshindaniLaliga sio ligi bora?
Epl si imerudi kuwa ligi bora mwaka Jana tu,
Laliga kadominate karibu miaka 10
Katafute za UCL ambapo kuna ligi mbalimbali
Kweli aiseeee.Huyu jamaa nahisi anahamia Uturuki mazima. Kaoa Miss Uturuki flani na rais wa Uturuji ndiye best man wake. Kifupi si mtu mdogo kivile. Ingawa waturuki nao ni wahuni flani kwenye siasa...
Mkuu nilikuwa nasadifu tu aliyoyasema isajorsergio nothing more.Wewe jamaa mbona unapenda sana kuni attack ?
Nilikukosea nini? Kuna chuki yoyote hapo juu ya uislamu katika hizo comment?
Mkuu sorry kama unahisi naku-attack.Unapenda sana kuni attack,nadhani una shida mahali ,sio bure , kwakuwa nimekuona una tatizo binafsi na Mimi, OK nitakaa mbali na wewe
Nakuelewa.Mkuu kuona hadi nimeandika vile nafahamu kwanini, na nikiwa na akili timamu. Digital Footprints' ni kitu kingine na vyema watu wakazingatia wanayoyatoa.
Kikubwa Aaron Arsenal x Relief Mirzska let's back to Fútbol, politics tuwaachie wenyewe. Aaron samahani kama nimeku-offend. We good, we move.
Ameyasema unaweza kunithibitishia kupitia jukwaa hili wapi nimefanya usemacho?Mkuu nilikuwa nasadifu tu aliyoyasema isajorsergio nothing more.
Aaron ndugu yangu tuyaache haya. We good we move.Ameyasema unaweza kunithibitishia kupitia jukwaa hili wapi nimefanya usemacho?
Una tatizo mahali, Mimi nipo Kwenye majukwaa mbalimbali na kila jukwaa na maudhui yake ,kama hukupendezwa na jambo fulani ,ungemalizana na Mimi huko huko.Aaron ndugu yangu tuyaache haya. We good we move.
Just for the record, ndio naweza kukuthibitishia hapa hapa. Hukuyasema hapa kwenye uzi wa arsenal but kwenye nyuzi nyengine huko.
Tuyaache mkuu let's move on na arsenal yetu.
Simjui huyu. Tunamtaka? Tunamhitaji?Looking ahead: The PA news agency understands that Norwich are willing to let £20m-rated Emi Buendia leave Carrow Road. In December, Buendia created 29 chances. That was the most by a player in a calendar month on record in Premier League history. #TransferTarget #WegoAgain
https://t.co/kdBinn1U6A