Duuh Nasri hio noma I hope atapona haraka.
Naona ako ka diaby kamepangwa ,vipi anakipiga au ndio kama kawaida yake kusinzia tu?
Thanks mkuu mbu kwa updates.
Inabidi tupate la pili kabla half time.
straight red card squillaci haya tuone itakuwaje
<br /><font face="Book Antiqua"><font size="3"><font color="darkred">...team nzima haina uhai, hopefully kipindi cha pili Fabregas na Wacott wataingia kama kawaida.</font></font></font><br />
<br />
<font face="Book Antiqua"><font size="3"><font color="darkred">Scuillaci Red Carded!</font></font></font>
...ni noma tupu.
Huyu Scuillaci hana tofauti na kina Senderos, au Cygan.
Arsene Wenger amebakiza masaa machache kusajili CB wa maana kabla ya 31st Janauary.
Half Time.
He already said that kama ataona opportunity then ataitumia ila so far ana enough cover for that position ambayo yeye anasema kuna come back ya SQUILACI and VERMINATOR ambae may be by the end of FEB atakua Match fit...Ila huyu SQI ni mbovu kupita kiasi....its another crap AW has brought inn......Haya Tena NASRI kaumia that means atamchezesha ARSHAVIN ambaye anatafuta his lost form...Kupona kwa DIABY kwangu naona kama MSIBA kwa timu koz AW atampanga na ataendelea kufanya Madudu...So far kafanya tackle moja tu ambayo naona ndo his best play ila bado yupo SLOW, MVIVU wa kukaba hata mipira aliyopoteza yeye mwenyewe...Golie sijui ndo anasaka fitness au vp??? ila hana ile form aliyokuwa nayo.....
...hii sasa ni noma,#
Arsenal 1 - 1 Huddersfield Town!
Was that Bigs Handball a PENALTY????????
mkuu kuna hatari tukawa out leo wacha replay, haya denilson nae anaonekana kama nae hamstring inapiga hodi ingawa amerudi uwanjani na tumemaliza subs kwa hio tunacheza 9 na nusu sasa.Hii sub can do us Better...koz kulikua hakuna mtu wa kupeleka mipira mbele...FAB can do us better......Hawa jamaa hili goli limewapa comfo sana.....nisingependa reply kwa game kama hii....ukichukulia kuwa tuna game nyingi, za msingi na ngumu katika mwezi FEB..