batmanwafez
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 882
- 1,363
Lile sakata la messi release clause ilikua milion 700?La liga mfumo wao ni kwamba mchezaji ndio ananua hiyo buy out clause yake. Mfano arsenal hawatakiwi kulipa wao bali wanampa pesa partey na yeye ndio anapeleka la liga, sasa dhumuni hiyo hela lazima ikatiwe kodi ambayo huwa inakuwa kati ya asilimia 20-47
Hivo dili la Partey limeigharimu Arsenal kama £56m hivi...
Sheria ya laliga, mchezaji anapolipa "release clause" inahesabika kama anavunja mkataba sio kama ananunuliwa, na kwa kuwa timu inakuwa engaged na national federation ndo maana hela inalipwa kule, yaan ana disengage na ligi. Kama ilivyo kwa dili la Neymar. No negotiations
Ndio maana Jion Simeon alianza Kutoa Kauli za Huzuni
Hadi Sasa Partey au Arsenal hawajawasiliana chochote na Atletico Madrid
Atletico ataupata Mzigo wake Kutoka Laliga
Na muda huu Laliga Wamethibitisha Wamepokea Mzigo kutoka Arsenal
Euro mil 700Lile sakata la messi release clause ilikua milion 700?
Kamuitaje hapo mwanzo?
Mkuu kapambane na BIKRAKamuitaje hapo mwanzo?
Anamaanisha kama...mdogo wakeKamuitaje hapo mwanzo?
Sawa. EnjoyWewe utakua na wenge tayari. Hata sijakuelewa ulichonijibu kina uhusiano gani na nilicho andika.
Means kaondoka bila baraka za wazazi?Hadi Sasa Arsenal hawajaongea chochote na Atletico wala Partey hajaongea chochote na Atletico
La Liga have informed Atletico that Arsenal have met Thomas Partey's release clause. Neither the player or Arsenal have communicated this with Atletico. (@charles_watts)
Unasema Elneny anashine game na timu ndogo!!?/Elneny mchezaj tukikutana na timu ndogo, agalia game na Liverpool
Xhaka, cebalos, elneny hao wote hakuna mzur namba sita (kiungo mkabaji)
Ndio maana inawalazimu; Auba, pepe wilian laca, kushuka chin kukaba
Creativity tumekosa, ndio maana goals zetu tunasubir kumvuta adui then tushambulie (arsenal waangalie namna ya kumaliza tofaut zao na ozil, yule jamaa mpira bado upo mguuni)
Arteta anasema willian anacheza kama namba kumi, lakin huyo wilian n bado sana kwa ozil, Ozil anayajua mashimo yote uwanjani, nyie mkabien tu mpeni mali awaoneshe
Tuna muhitaji sana Toma's Partey pale kati
Ulikuwa wapi Ndugu yangu, ulilala nini maana Jana Liverpool na Man u wamekukoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]
Ni matumaini yangu sasa Arteta ata swich from 3 4 3 to 4 3 3,
Hapa partey,kule xhaka pale ceballos,
#Coyg_4rever
[emoji3][emoji3][emoji3]Means kaondoka bila baraka za wazazi?
Partey update
Medical [emoji736]
In London [emoji736]
Release clause [emoji736]
Contract [emoji736]
Announcement [emoji352]