Hawa sheria yao ikoje? Club inawasiliana na La Liga badala ya Club ya Mchezaji? Naomba kujuaLa Liga have informed Atletico that Arsenal have met Thomas Partey's release clause. Neither the player or Arsenal have communicated this with Atletico. (@charles_watts)
Zouma kama Zouma..........πZouma na Thiago wana clean sheet tayari.
Au walivyomuuza Fekir bei cheeee wakati liver walikaribia 70Naona dili la partey lipo 99.9% kukamilika,
Aulas atakuja kumuuza auoar kwa bei mbovu Kama Monaco walivyofanya kwa Thomas lema.
Siyo uhuni huu? No courtesy? Ikiwa hivi si tunaweza kuamua kubadilisha terms za Torreira dakika za mwisho abaki England?Labda Arsenal waliudhika na Atletico ndo maana wanafanya hivi? Au kwa sababu tunaona tumewependelea sana kuwapa Torreira?La Liga have informed Atletico that Arsenal have met Thomas Partey's release clause. Neither the player or Arsenal have communicated this with Atletico. (@charles_watts)
Panic Buy ki vp na umeambiwa long way back ilikuwa lazima aje Mmoja kati ya PARTEY au AOUR?Deadline deals hata sizifagilii. Seems we were not ready, panic buy huwa ina cost timu nyingi tukiwemo sisi.
Ni kweli hakuna panic kwani tangu mwanzo ilikua ni lazima tusajiriPanic Buy ki vp na umeambiwa long way back ilikuwa lazima aje Mmoja kati ya PARTEY au AOUR?
Kwa hii hapa si panic buy maana tumemfuatilia kwa muda tu ila tulikuwa tunazozana bei, kibiashara tu. Sasa hatuna namna ingine kwa hiyo anakuja siku ya mwisho kwa namna hii. Naanza kuhisi hatukutaka kuwajulisha Atletico kuwa tutaenda La Liga kutrigger RC yake ili wadhani wanashinda na wasitafute njia za kuhakikisha wanabaki na mchezajiDeadline deals hata sizifagilii. Seems we were not ready, panic buy huwa ina cost timu nyingi tukiwemo sisi.
Exactly.Ni kweli hakuna panic kwani tangu mwanzo ilikua ni lazima tusajiri
La liga mfumo wao ni kwamba mchezaji ndio ananua hiyo buy out clause yake. Mfano arsenal hawatakiwi kulipa wao bali wanampa pesa partey na yeye ndio anapeleka la liga, sasa dhumuni hiyo hela lazima ikatiwe kodi ambayo huwa inakuwa kati ya asilimia 20-47Siyo uhuni huu? No courtesy? Ikiwa hivi si tunaweza kuamua kubadilisha terms za Torreira dakika za mwisho abaki England?Labda Arsenal waliudhika na Atletico ndo maana wanafanya hivi? Au kwa sababu tunaona tumewependelea sana kuwapa Torreira?
Good clarifications.La liga mfumo wao ni kwamba mchezaji ndio ananua hiyo buy out clause yake. Mfano arsenal hawatakiwi kulipa wao bali wanampa pesa partey na yeye ndio anapeleka la liga, sasa dhumuni hiyo hela lazima ikatiwe kodi ambayo huwa inakuwa kati ya asilimia 20-47
Hivo dili la Partey limeigharimu Arsenal kama Β£56m hivi...
Sheria ya laliga, mchezaji anapolipa "release clause" inahesabika kama anavunja mkataba sio kama ananunuliwa, na kwa kuwa timu inakuwa engaged na national federation ndo maana hela inalipwa kule, yaan ana disengage na ligi. Kama ilivyo kwa dili la Neymar. No negotiations
Ndio maana Jion Simeon alianza Kutoa Kauli za Huzuni
Hadi Sasa Partey au Arsenal hawajawasiliana chochote na Atletico Madrid
Atletico ataupata Mzigo wake Kutoka Laliga
Na muda huu Laliga Wamethibitisha Wamepokea Mzigo kutoka Arsenal
Basi toa hizo penalty tulizopewa. Tufanye tulishinda 2-0.Yakupewa mapenalty?
Palace hata mbele walikuwa hawaendi, subiri wakutane na Test ya kueleweka,uliona westbrom walivyowatest tu, wakawa wanachoma tu kina Babu Thiago
Kama wewe unavyotembeagaLeo una tembea kila jukwaa la timu Mkuu hongera sana.
Kamnyima namba Luiz mwishowe akaamua aondokeZouma kama Zouma..........
Kupenda kubaya.......sometimes kunakufanya kuwa kipofu.....ππ.Kamnyima namba Luiz mwishowe akaamua aondoke
Kupenda kubaya.......sometimes kunakufanya kuwa kipofu......
Ndio maana hukauki huku jukwaa la Arsenal ,ndio umehamia manake wewe umesema timu sio kabila wala ukoo karibu.unayajua haya kwa nini unapata shida huku? Kule ni free hakuna viingilio karibu sana mkuu.
Kwanini upate shida na wakati timu siyo ukoo wala kabila.