Mimi nimeaddress ishu yako pia.Hujańielewa naomba rudia tena nilichosema, sijasema kwamba ni mchezaji mbaya, maana yangu ni bei yăke ni kubwa, kumbuka hiyo ni biashara mzee lazma iwe ni winwiň situation,
Negotiation ni lazima ili kila upande uridhike, ukienda kununua bidhaa lazma uthaminișhe ubora wa bidhaa na kiasi unacholipa kama vinaendana,
Kwani Sancho mbovu? Mbona united wanambwela kutoa fedha?
Vardy mbovu? Ukiambiwa utoe 159m utatoa?
Hawa hawatuogopi huwa wanakuja kutafuta ushindi. Dawa yao ni kuwapiga haswa ili wakisikia jina letu mtaani wajifiche.Shefield United komaeni na draw tu, maana vinginevyo mtashuka daraja.
Draw au ushindi inawezekana.
Hawa hawatuogopi huwa wanakuja kutafuta ushindi. Dawa yao ni kuwapiga haswa ili wakisikia jina letu mtaani wajifiche.
Mkuu unajua tumekuwa washabiki wa arsenal for almost 20 years now.Hahahahaha
Ujue bro nnachokukubali kwako nyeupe ni nyeupe sio nyeusi
Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
Na wewe ndio mchawi wangu hahaahahahahShefield United komaeni na draw tu, maana vinginevyo mtashuka daraja.
Draw au ushindi inawezekana.
Mendy!!! Angalia huyu takataka..mtoe Mendy hapo weka Pepe pale tumepigwa 🤥🤥Hakuna
Sașa hapo ni kukubali kupigwa au kutafuta mbadala mwingine chap,
Kwa akili tu ya kawaida unafkiri target ya Arsenal ilikuwa kwa hao wawili tu? Lazma kuna list ya wachezjji na hao nďio walikuwa vipaombele.
Sasa kutoa 60m kwa farmer league player si bora nirudi kwa kina Toddy Cańtwel, Bueńdia, Brooks, Joginho, n.k ambao washaonja joto la EPL,
Funzo nililolipata kwa kina Chamakh, Giroud, Lacazette, Bakayoko, Batshuay, Mendy n.k linatosha,hapo sijamuweka Nicolas nimpe muda kidogo
Usajili ni kamari lakini kamari ya wachezaji wa league1 ni ya kiwango haswaa@
Time will tellJapo Ozil anatuzingua, Ila mechi kama hizi tunahitaji huduma yake.
Ubunifu kwenye final third hatuna kwa sasa.
Tena takataka haswa😂😂😂😂Arsenal yetu imekuwa takataka tuu pumbafu.
Na wewe ndio mchawi wangu hahaahahahah
Unaboa mpaka nimesinzia hapa hapa kwenye kochi. Nimezima feni lakini wapi kudaadekiHalf Time:Mpira unaboa mno no creativity at all ,kama board inashindwa kukaza matako kununua viungo basi Ozil apewe nafasi
Kwenu tunataka draw tu hizi takataka zikipigwa siyo mbaya..Shefield United komaeni na draw tu, maana vinginevyo mtashuka daraja.
Draw au ushindi inawezekana.
Nyie ni mbuzi tu angalia mnafanywa mini leo😂😂😂😂Liverpool wanamtaka Kepa.
Akawe kipa back up wa timu ya wanawake.
As a bonus watampa na unahodha.