Supu yake inaliwa haraka sana.Acha tumtafune tu hakuna namna.Jogoo kafanywa kitoweo
Naona jamaa wamekumendea wakakupakata mkuuAnzishen mjadala wa xhaka na el neny yup aanze tenanaona mmekimbilia kwa partey cjui
Shubakengemit zenu!!!! Nawataarifu tu juzi ilikuwa sendoff kesho tunachukua mwali kabisa
Ni huyu wewe ama? Ujue me nipo nalilia kwenye mto? We haya tu 😁😁Naona jamaa wamekumendea wakakupakata mkuu
Kasharidhishwa huyo mkuu.Unalilia kuridhishwa![]()
Hahahahaahahahaha.Ni huyu wewe ama? Ujue me nipo nalilia kwenye mto? We haya tu 😁😁
Milner alidaka dk za mwisho refa akapeta......hivi haya mashindano hayana var?Nasikia kuna msiba loserfools ... Ding .... Dong. Wanasema magoli ya matuta hayo. Chie tinachema hewala sio utumwa.
Kweli kabisa,bodi inatukwamisha sanaHuyu Arteta ni bonge la kocha, bodi iache ubahili impe mahitaji anayoyataka aisuke Arsenal.
Leno was amazing today, kafanya saves za kutosha plus penalties anastahili pongezi.Martinez alipoondoka nililaumu kiasi maana alikuwa kwenye top performance, ila Beno leo amenipa matumaini makubwa
Haina VAR mkuuMilner alidaka dk za mwisho refa akapeta......hivi haya mashindano hayana var?
Mashindano haya hayatumii VAR.Milner alidaka dk za mwisho refa akapeta......hivi haya mashindano hayana var?
Refa pale kazinguaHaina VAR mkuu
Hii noma mkuu
Unakuwa msahaulifu ehe? Mane ile faulo kwenye EPL ilikuwa ni red card mbona husemi?Milner alidaka dk za mwisho refa akapeta......hivi haya mashindano hayana var?