Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dah! Mbona mbona unaanza kulialia mapema?
Ukikutana na Manure si utatapika kabisa coz kuna Penalty ya Bruno kama kawaida.
We kaa hivyo hivyo kama pimbi, njoo kesho tuone? Jana bila kubebwa mngekung'utwa tu.
 
Wacha kubadili maneno, mulijitapa mutashinda.
Kumbe nyie ni mbuzi tu
Piga mbuzi haoooooo😂😂😂😂
 
Yah sikucheki game ila ile elbow ya Mane ilikuwa ni intensional aisee, alistahili red card. Hizo nyingine sikuziona kwenye highlights.
Pale Mane hakukusudia ni mkono ulienda wenyewe bana,😄😄 ni kama vile ball to hand, kama angekusudia basi ni sawa na Hand to ball
 
Nashindwa kumwelewa huyu jamaa, sasa waluvyoona liva wametumia mbinu ya kukami na wenyewe si wangekami tu
Yani wanatafuta visingizio tu ..unajua msimu huu hawataki kabisa kufungwa😂😂😂

Yani fanyeni hivi hata hiyo Alhamisi bamizeni tena hakuna namna.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
GGMU
 
We chalii ushapuliza mneli umekuja huku
mkono unaendaje wenyewe? Hata ile red card yenu juzi si wangesema mguu ulienda wenyewe?
Hahahaha sasa mkuu unataka iweje? Ile red kadi inaweza kuwa halafu lakini pia isiwe halali ..ila kusema jana Mane alistahili red kadi pale ni uwongo kabisa..sidhani kama hata alipewa yellow kadi Achilia mbali iyo red kadi.
😎😎😎
 
Laccazzete ni Wema Sepetu aliyechangamka. Anakosaje goli mbili za wazi?? Pale Werner hakuachi
#CFC 💙💙💙
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…