Maana yangu hapa ni kuwa kati ya 7 total shots, 6 shots on target (incuding 3 penalties) zilizopigwa na Leicester 5 zimezaa magoli (86.3%) ya shots zote, haya hayatokei kwa bahati mbaya. Upande mwingine City ana total shots 18 on target ni 7 na 6 ni off target with only two goals na 5 blocks.
Penalty ni matokeo ya wrong timing na poor decision making ya defender ( kama ni halali) of which za Leicester zote hazina ubishi

What do you mean unafungwaje goli zote zile?
3 penalties... Kuna kocha anaiambia timu yake ikatafute penalty?
Kutegemea counter na kufunga goli la counter ni vitu viwili tofauti, me nimesema game plan ya Leicester ilikuwa ni kufanya counter attacks na ndio maana timu yao muda mwingi ilikuwa deep na hata takwimu zinasapoti, pasi nyingi za City zimepigwa na Nathan Ake, Eric Garcia na Walker ambayo ni back 3 ya City.

Unasema Leicester walitegemea counter umeona magoli mangapi ya counter?
Kukaba build ups za mpinzani sio lazima ufanye fouls, unaweza kufanya entry blocking, technical blocking na ball/pass interceptions. Again fouls ni matokeo ya poor timing na bad decision making.

Unasema Leicester walikua wanaharibu build up ya city. Lakini aliyecheza faulo nyingi ni city na hii ni kawaida kwa timu inayotaka imiliki mpira muda wote.
Nilishasema kutumia formation hizo alilazimika kutokana na mapungufu, sasa angegoma kucheza kwa kuwa ana injured players ama?

Kama yeye alikua anatumia formation ambayo hajawahi kutumia, huyu mtu yupo sawa kimbinu? Tena steji ya robo fainali?
Makocha wangapi walipewa hizo Barca na Bayern zikiwa na hao players na hawakuchukua Uefa?

Alikua Bayern na Barcelona.
Bayern giant wa Bundes Liga.
Barcelona giant wa La Liga.
Makocha wengi wamefundisha hizi timu mfano Barca yenye prime Xavi, Messi na Iniesta lakini hawakubeba Uefa kila msimu.
Mourinho akiwa na Inter aliipiga prime Barca semi final na Bayern final akabeba ndoo. Ukweli ni kwamba sometimes ushindi unahusisha mambo mengine kama bahati nk, kama ushindi ingekuwa ni tactical issues tu kuna timu zingeusikia tu.

Unajua hiyo ndiyo Bayern ambayo hata mashabiki walifikia hatua hawaendi uwanjani wakijua lazima washinde? Ila ucl alikua akifanywa nini na hiyo Bayern?
Barcelona aliyokua nayo yeye ilikua na talent hakuna mfano with prime Messi at his service. He won ucl.
Hii hoja nakubaliana nayo 100%, Serie A, Ligue 1 na Bundesliga ziko hivyo ndio maana Juve, PSG na Bayern zinachukua ubingwa misimu 7, 8 au tisa mfululizo.
Hii huwapa advantage kwenye Uefa kwa kuwa every stage ya mashindano wao kwenye ligi zao wanaongoza kwa points kibao na hivyo wanaweza kupumzisha wachezaji na kwenye hatua za mwisho unakuta wao walishatangaza ubingwa mechi hadi 7 kabla ya ligi kuisha.

My point ni kwamba hizo timu mbili alizopita zipo kwenye ligi ambayo unajua matokeo kabla mechi haijaanza.
Hii naomba niichukue kama maoni yako binafsi thou I 've got a different view.
He is not that brilliant. Ni klopp akibanwa upande huu hana pa kufurukutia analaumu injuries.
Hapa sipingi hata kidogo pia, Moyes ni master kuliko Nuno kwenye hizo mambo

3 4 3 hua inakua beaten kwa counter au tiki taka na 5 4 1 ni formation ambayo inaoffer extra defense huku lone striker akipelekewa mipira apimane ubavu na pumzi na mabeki. So kocha wa Westham technically ni superior kumzidi kocha wa Wolves.