Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nasikia Lyon wamekataa second deal/bid Kwa Aour nashangaa kwa hili maana tulishajua kwamba Arsenal wameshakubalina personal terms na mchezaji sasa inakuaje Lyon wamekataa? Personal terms means club washakubali deal naona wanaturudisha nyuma tu hawa.
 
Personal terms ni mambo kama vile mshahara, muda wa kandarasi klabuni, nafasi atakayocheza, kipaumbele atakachopewa na kocha kwenye kikosi n.k.

Kwa hiyo ni ishu tofauti na kukubaliana na klabu.
 
Personal terms ni Aouar na Arsenal

Arsenal na Lyon ndio Bado ,

Ila Tunatuma Wiki hii ofa ya €40m+10 add ons (Package ya €50m)

Hawachomoi , Aulas anataka ofa ya €50-60m

Wakikaza sana dakika za mwisho itapigwa ofa ya €45m+ 5 add ons dakika za lala salama

Bodi ya Arsenal , Arteta wanamtaka sana Aouar kwa UDI na Uvumba .....
 
Jana Kante alikua nje ya 18 anaangaliana na kipa lakini kupiga mashuti anajivuta sijui alikua anawaza nini.

Wachezaji wetu kesho huu ugonjwa usiwakumbe.
 
Haya mambo ya PERSONAL TERMS yananikumbusha kisa cha PATRICK VIEIRA alipotaka kuhamia Madrid... jamaa alipanda Ndege LONDON - MADRID... kwenye personal TERMS Madrid wakajitoa ufahamu... Vieira akageuza zake Highbury
Personal terms ni mambo kama vile mshahara, muda wa kandarasi klabuni, nafasi atakayocheza, kipaumbele atakachopewa na kocha kwenye kikosi n.k.

Kwa hiyo ni ishu tofauti na kukubaliana na klabu.
 
NEW: #AFC are planning a fresh £40m bid for Houssem Aouar [@MirrorFootball]
IMG_20200927_164039.jpg
 
Contact between PSG and Chelsea.
PSG want Jorginho on loan.
Arsenal still interested by the italian player.

@telefoot_chaine #mercato
 
Game ya Carabao Liva alianzisha watu 5 ambao ni wa kikosi cha kwanza akiwemo Van Dijk.

Lakini ile timu ikamanage kupata goli 2.

Thiago na Wijnaldum wakianza kwa pamoja au wakiwa pamoja Wijnaldum ni wa kuchungwa as huswitch na kuanza kucheza kama amf as Thiago ni dmf zaidi na Wijnaldum hua anakua nyuma ya striker akiwa uholanzi.

Ndiyo maana game na Chelsea soon baada ya Thiago kuingia Wijnaldum akaonekana yupo on fire.

Bwana klopp na Liver wote wana uchungu. Klopp akiongea unaona maumivu. Liva ikipost kitu IG unaona maumivu.

Its funny
 
Pia bwana Becker inasemekana anaweza asiwepo mechi ya kesho kwa ajili ya majeraha.

Ikiwa kweli hapo inabidi acheze Adrian.
 
Pia bwana Becker inasemekana anaweza asiwepo mechi ya kesho kwa ajili ya majeraha.

Ikiwa kweli hapo inabidi acheze Adrian.
Akicheza adrian ndio vizuri,na zile curve za Auba kila ikipigwa imo
 
Wababe hatutoki kwenye reli,nafasi ya tatu paka sasa,kwa namna mechi zilivyoenda wiki hii kesho hata sare ni nzuri kwetu.
 
Back
Top Bottom