Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Aubameyang: “Of course I am in favor of bringing Aouar. I will not hide it. He would add quality. Let’s see what happens” [@canalplus]
Darasa la saba kuna husiana nini na nilichoandika hapa?Unayoyaandika, Nina mashaka kama darasa la saba umefika, uwezo wako wa kufikiri unazidiwa na mtoto miaka saba
Dogo una miaka mingapi?Pund milia haushind mpak kwa mbelko


#GX34” [IG: granitxhaka] #afc
Naona kikosi kina injured players wengi sana, juzi kwenye pre-match conference alisema ana wachezaji 13 tu walio fit.Arteta kaondoka City na Guardiola timu inamshinda.
Katika kikosi chake cha jana hakukua na sura mpya ambayo huingia akikosa namna wote ni starting XI. Hata aliowasajili ni starting XI walipotoka.Naona kikosi kina injured players wengi sana, juzi kwenye pre-match conference alisema ana wachezaji 13 tu walio fit.
Hakuna sura mpya kwenye starting XI yake? Yes, inawezekana hata walikotoka walikuwa kwenye 1st eleven lakini kwa City wakaja kama backup players.Katika kikosi chake cha jana hakukua na sura mpya ambayo huingia akikosa namna wote ni starting XI. Hata aliowasajili ni starting XI walipotoka.
Boss ukiangalia statistics za mechi yao ya jana unaweza kusema game iliwaelemea? 4 2 3 1 ni formation solid katika kukaba na kushambulia.Hakuna sura mpya kwenye starting XI yake? Yes, inawezekana hata walikotoka walikuwa kwenye 1st eleven lakini kwa City wakaja kama backup players.
Aguero, Jesus, Bernado Silva, Gundogan, Laporte, John Stones, Zichenko hawa wote ni regular first team players wa Pep ambao ukiacha Zichenko na Laporte ambao walikaa bench ili kutimiza idadi kwa kuwa hawako fit waliobakia wote hao hata bench hawakuwepo.
Kuthibitisha hilo ndio maana ameshift kutoka 4-3-3 tangu game ya Lyon aliyofungwa hakuicheza na jana kacheza 4-2-3-1 yaani kwa maneno mengine analazimika kushift formation ili aweze kutumia wachezaji alionao kwa sasa.
Tazama hata sub kafanya 2 tu pamoja na game kuwa ngumu kwake kwa kuwa hakuwa na options kwenye bench.
Chini hapa nimekuwekea kikosi cha kwanza, bench na subs alizofanya kwa jana.
View attachment 1583259View attachment 1583260View attachment 1583261


Boss ukiangalia statistics za mechi yao ya jana unaweza kusema game iliwaelemea? 4 2 3 1 ni formation solid katika kukaba na kushambulia.


2 kwa Wolves walikua na majeruhi?


yao ucl kwa Lyon walikua na majeruhi?


Wote walikuwepo isipokua Arteta. Kaondoka na Pep anayumba technically, tangu Arteta aondoke City imetembezewa vipigo mara nane kabla ya mechi ya jana. Huku Arteta akiwa na kikosi shit kapoteza games 6 tu.
What do you mean unafungwaje goli zote zile?Kuelemewa na game ni pamoja na kushindwa kutekeleza plan zako na kushinda mechi. Kumiliki mpira na kupiga pasi nyingi pekee haviwezi kukupa point tatu. Game plan ya Leicester ilikuwa kuvuruga mashambulizi ya City na kisha kupiga counter attacks na 100% walifanikiwa. Unafungwaje goli zote zile then useme hukuzidiwa kimchezo?
View attachment 1583302
Mjiandae