Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Najaribu kukuelewa lakini tuna tofautiana kidogo, mechi hii sisi sio underdog, Yes I know Liverpool will try to be aggressive going forward, but remember, this is a different arsenal. We have a formidable defense and a strong attacking side compared to the last combination we used and came up with a 2-1 win when we last met. Klopp bado anapata sleepless night when it comes to meeting arsenal
Kwani umelifahamu vipi neno underdogs bro??

In this game we are going to Anfield as underdogs and that is not always a bad thing.

Mimi nadhani mechi hii tunahitaji kushinda, au most importantly tunahitaji kutopoteza yaani draw kwetu ni ushindi pia katika game hii ukizingatia itakuwa tumemaliza Anfield.

Kwa vile tunajua kiuhakika kwamba Alcantara ndio atacheza basi ingekuwa vizuri kama kocha angemuanzisha elneny kuliko Dani. Elneny atakaba zaidi kuliko Dani, lakini kwa vile passing accuracy stats zake zipo juu zaidi maana yake ni hatutopoteza mipira zaidi.

Nisingependa kumuona Luiz akianza kutokana na nilivyomuona juzi against Leicester. Hakuwa sharp 100% kwa hiyo Bora twende na Holding.

Tierney kama yuko fit itakuwa big plus kwetu na kama hayupo fit basi hali itakuwa sio nzuri sana.
 
Aubameyang on Arteta:

"Tactically he brings a new idea. What I like, of course is we have plan playing from the back, but also we can create. He gives us freedom. This is different from the coaches before." [@SkySportsNews]
 
Labda 'underdogs' wengi wanaichukulia kama 'dharau' au 'kuchukuliwa poa'.

Kimsingi underdog/favourite ni game mentality. Katika mechi yoyote ile kuna timu moja inahitaji kudominate mpinzani wake ili ishinde (huyu ni favourite) na timu nyingine inahitaji kumkabili/kumdhibiti mpinzani wake ili ishinde (huyu ni underdog).

Kwa hiyo kama ulivyosema sio kitu kibaya kuwa underdog ila ni kutambua opponent unayekabiliana naye na namna ya kumdhibiti.

Hata Arteta anakiri kuwa Liver na City wanatuzidi in terms of squad quality lakini hiyo haituzuii kuwafunga kama ambavyo tumesha thibitisha siku kadhaa nyuma.
Kwani umelifahamu vipi neno underdogs bro??

In this game we are going to Anfield as underdogs and that is not always a bad thing. .
Kwa upande wa beki pamoja na Luiz kutokuwa na sharpness kwenye last game ila bado naona kama tunamhitaji sana kwa uzoefu wake kukabiliana na ile front three ya Liverpool.
Nisingependa kumuona Luiz akianza kutokana na nilivyomuona juzi against Leicester. Hakuwa sharp 100% kwa hiyo Bora twende na Holding.

Tierney kama yuko fit itakuwa big plus kwetu na kama hayupo fit basi hali itakuwa sio nzuri sana.
 
Labda 'underdogs' wengi wanaichukulia kama 'dharau' au 'kuchukuliwa poa'.

Kimsingi underdog/favourite ni game mentality. Katika mechi yoyote ile kuna timu moja inahitaji kudominate mpinzani wake ili ishinde (huyu ni favourite) na timu nyingine inahitaji kumkabili/kumdhibiti mpinzani wake ili ishinde (huyu ni underdog).

Kwa hiyo kama ulivyosema sio kitu kibaya kuwa underdog ila ni kutambua opponent unayekabiliana naye na namna ya kumdhibiti.

Hata Arteta anakiri kuwa Liver na City wanatuzidi in terms of squad quality lakini hiyo haituzuii kuwafunga kama ambavyo tumesha thibitisha siku kadhaa nyuma.

Kwa upande wa beki pamoja na Luiz kutokuwa na sharpness kwenye last game ila bado naona kama tunamhitaji sana kwa uzoefu wake kukabiliana na ile front three ya Liverpool.
Tusisahau last time out pale Anfield kwenye EPL ni yeye alikuwa shida. Two goals,remember?? Penalt na ile aliyopitwa na Salah
 
Torino sport director Vagnati confirms that Arsenal are not accepting to loan out Torreira... at the moment: "Torreira is a top player but his price is too high. It's difficult to sign him from Arsenal, not just for us". Also Atléti want him on loan, #AFC ask for permanent deal.
 
Screenshot_20200926-162918_All%20Goals.jpg
 
Uwe unaangalia mechi.

First half possession: Brighton 55%

Second half possession: Brighton 59%

Full time possession: Brighton 52%

Shots: Brighton 14 Man U 5

Kona: Brighton 7 Man U 1

Brighton was denied 2 penalties.

Man U was granted a controversial penalty minutes after extra time was over.

Brighton dominated the game in all aspects.
 
Kucheza na man u ni ngumu sana
Hao jamaa wanasomeka kirahis sana , labda kama watabadilika siku za mbeleni ila watapigika sana wakikutana na makocha wanaojua kuwasoma vzr ,

Kwanza Man u ukiwapiga pressing kidogo tu wanaachia Mali ,

Hawawez kabisa kufanya buildup , Degea ni old fashioned GK, beki zao sion mwenye pass accuracy ya maana ,

Labda wachukue tahadhari mapema sana
 
Underdog ni wazi kwamba ni dharau “one at a disadvantage and expected to lose” nadhani Arsenal versus Liverpool siiioni Kama underdog
 
I'm told that Arsenal are prepared to offer an initial €40m with €10m in add ons in a second bid for Houssem Aouar.

James benge
 
‘Arsenal offer of €35m has been rejected but Arsenal will not be deterred. ‘football london’ understands Arsenal are ready to increase their offer to €40m with a further €10m in potential add-ons’
 
Back
Top Bottom