Naona unataka ubishi wa yanga na simba..kwenye post yako umesema "i hate everything about that team" lakini nampenda Rafaelo (mchezaji wa timu unayoichukia) sasa huoni contradiction iko wapi? Kuhusu trophies umewabash washabiki wa man utd kwa kusema they all about trophies and whatnot and went on to say there's more to life than trophies...kwenye thread nyingine umesema its about time mkashinda kikombe kwa sababu it has been a long time.
Kila timu ina glory hunters na loyal fans lakini kusema kuwa washabiki wa timu fulani wanachojari ni vikombe tu hiyo ni rush generalization, niamza kushabikia man utd tangu nikiwa 10 yrs old became a member at 16 and i have supported them every step of the way, and i can eloquently tell you trophies matter.
michelle niambie champagne gani unapenda kunywa nikutumie? ,umenifurahisha sana kwa jinsi ulivyotetea mapenzi yetu kwa arsenal ur the best.
uwe unakuja siku za games ukipata nafasi hapa michango muhimu sana.
Mkuu mbona unamsumbua mshabiki mwenzetu? lol, mtafute belinda jacob mmpange mikakati yenu lol.michelle anajua timu gani inatandaza soka la kuvutia mkuu lol.
Kwa jinsi premier league inavyoenda hawa jamaa nawakubali wanavyonyatia kimykimya bila makeke naona harufu ya vikombe.
Wenger anatakiwa asidharau mechi ndogo ndogo kwa kupumzisha kikosi kazi cha 1st eleven kusubiria big matches kwani humo ndo kwa kubeba points na kuongeza goal difference
idumu arsenal
Asante sana mkuu,ndo maana mi penda wewe,hi ndo maneno,ntamfikishia.......unajua uzee nao.....lol....
Man U watakuja na "excuse excuse yani mashabiki wa arsenal bwana,mbona Ferguson mzee kuliko Wenger"
IDUMU ARSENAL!!!!
kusema wasema wao tukisema sisi wanasema vitoto!!
wakubali wakatae Emirates ndio mahali panapo wapasua kichwa kila siku
yule mtoto Walcott akicheza dk 90 ni balaa!!
Bado mtoto Nasri,hadi wameanza kampeni eti nae aweza kwenda Barcelona na Fabregas,watu bana....kwani alivyohama Toure,Adebayor,Gallas na wengineo team ilishuka daraja??? watuache sisi na utoto wetu kwanza utu uzima unachosha majukumu kibao mi natamani utoto tu......nahisi Arsenal ingekuwa na watu kama Tevez,Rooney,Ferdinand, labda singekuwa naangalia mechi......Na yule Ferdinand tangia achane jezi ya Sagna ndo nimeona utu uzima si kitu,frustration tupu hadi unataka kutoa moyo wa mtu......lol
Mkuu mbona unamsumbua mshabiki mwenzetu? lol, mtafute belinda jacob mmpange mikakati yenu lol.michelle anajua timu gani inatandaza soka la kuvutia mkuu lol.
Ubishi nautaka mimi:nono:???helooooooo!we shabikia Man U,mi nashabikia Arsenal,hayo ya simba na yanga sijui ulianza lini kushabikia Man U mi hayanihusu.......trophie matter but my passion is strong without em trophies!!!
Katafuta mnyonge,kawaacha nyie wote yuko na mimi,haoni ubishi huko juu ana deal na mimi,eti na contradict........ lol :shock::shock:
Ubishi nautaka mimi:nono:???helooooooo!we shabikia Man U,mi nashabikia Arsenal,hayo ya simba na yanga sijui ulianza lini kushabikia Man U mi hayanihusu.......trophie matter but my passion is strong without em trophies!!!
Michelle!
Taratibuu basi mama, naona wakaribia mwaga bia za wenzako mezani. BTW karibu sana JF-Michezoni, wenzio tuko kitambo sana hapa, tunawajua sana nduguzo kina Wacha, AW, Kweli, Blntd, Mbu and the likes. Mkifungwa wte wanakugeuka. Hujachelewa sana, ni-PM nikugee kadi ya uanachama Stretford End, in the city of Manchester. We always be happy na wamoja there, when down when tukiwa juu kama leo.
Afu nyie kina AW acheni kumpotosha mwenzenu. Araaaa!
TalumaManda bana! mineno miiiiiingi.........!
Manda bana! mineno miiiiiingi.........!
Hahaha mbali ya AW hao wengine ni kazi kupata nao constructive argument maana uwa wanaingia mitini...ila watarudi hapa mtakaposhinda tena...speaking of that kana kansungu, game theory, nzoka, shadow, richard, david, radical wako wapi siku hizi?
Hivi Rooney(yule aliyekuwa na skendo ya malaya) alifunga ile penalty yake dhidi ya Arsenal?Hebu tujikumbushe kidogo hapa Rooney Misses Penalty HDAW
Ile Penati ya Van Persie imenikumbusha ile penati ya kaka yake Jaap Stam, EURO 2000, nusu fainali Uholanzi dhidi ya Ufaransa/Italia (moja wapo). Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeee! (nimecheka ki-wacha1 wacha1)
Hivi Rooney(yule aliyekuwa na skendo ya malaya) alifunga ile penalty yake dhidi ya Arsenal?Hebu tujikumbushe kidogo hapa Rooney Misses Penalty HD