Naona jukwaa lina hoja nzito kati ya el neny na sijui ceballos nan aanze sisi kama liverpool tunawaambia anzishen wote na bado mtakunywa sio chin ya goli tatu pale anfield kama kawaida yenu

umekariri?HaiwezekaniNaona jukwaa lina hoja nzito kati ya el neny na sijui ceballos nan aanze sisi kama liverpool tunawaambia anzishen wote na bado mtakunywa sio chin ya goli tatu pale anfield kama kawaida yenu
Elnenny All the WayUnajua enzi za Wenger alikua anadiscourage kushuti nje ya box alipenda watu waingie ndani ya box ndiyo wascore. Pep anadiscourage hii tabia pia lakini screamer la Kompany ndiyo liliwapa ushindi uliowapa kombe mbele ya Liva kwa tofauti ya point 1.
Elneny akiwa nje ya 18 na ana opportunity ya kushut hashindwi na hasiti ni atashuti tu. Hawa watu ni muhimu unapocheza na timu kama Man U, Chelsea na zote zenye kipa mapazia na timu kama Liva yenye kiungo inayosapoti defense mno. Ceballos atataka kuingia ndani hata kama amekua presented with the opportunity to shoot.
Elneny ana nguvu, stamina yet anaweza kupiga chenga na kupiga pasi vizuri.
I want this guy kwenye mid siku hiyo
Kichapo alichowapa mwana Arsenal Wilfred zaha bado kinawalevyaJinga jinga fc, mumeamka salama humu?
Binafsi na prefer Xhaka CeballosUnajua enzi za Wenger alikua anadiscourage kushuti nje ya box alipenda watu waingie ndani ya box ndiyo wascore. Pep anadiscourage hii tabia pia lakini screamer la Kompany ndiyo liliwapa ushindi uliowapa kombe mbele ya Liva kwa tofauti ya point 1.
Elneny akiwa nje ya 18 na ana opportunity ya kushut hashindwi na hasiti ni atashuti tu. Hawa watu ni muhimu unapocheza na timu kama Man U, Chelsea na zote zenye kipa mapazia na timu kama Liva yenye kiungo inayosapoti defense mno. Ceballos atataka kuingia ndani hata kama amekua presented with the opportunity to shoot.
Elneny ana nguvu, stamina yet anaweza kupiga chenga na kupiga pasi vizuri.
I want this guy kwenye mid siku hiyo
Elneny sio mtu wa kushambulia mzee wangu,kipindi cha Wenger tulikuwa tunamponda kwa back passes, lakini sasa hivi kajijenga vizuri,yupo vizuri, nahisi mfumo unamfavors.Unajua enzi za Wenger alikua anadiscourage kushuti nje ya box alipenda watu waingie ndani ya box ndiyo wascore. Pep anadiscourage hii tabia pia lakini screamer la Kompany ndiyo liliwapa ushindi uliowapa kombe mbele ya Liva kwa tofauti ya point 1.
Elneny akiwa nje ya 18 na ana opportunity ya kushut hashindwi na hasiti ni atashuti tu. Hawa watu ni muhimu unapocheza na timu kama Man U, Chelsea na zote zenye kipa mapazia na timu kama Liva yenye kiungo inayosapoti defense mno. Ceballos atataka kuingia ndani hata kama amekua presented with the opportunity to shoot.
Elneny ana nguvu, stamina yet anaweza kupiga chenga na kupiga pasi vizuri.
I want this guy kwenye mid siku hiyo
Elneny na Ceballos wote wamecheza against Liva.Binafsi na prefer Xhaka Ceballos
Napenda sana wapo Rigid ,hivi kwanini mnasema Ceballos hana stamina?
Ni kweli Elneny anamzid Ceballos Stamina ?
Kwenye pass accuracy nawakubali wote.
If you have solid mid kuattack huja automatically. Liva ana kiungo gani mwenye sifa za Aouar?Elneny sio mtu wa kushambulia mzee wangu,kipindi cha Wenger tulikuwa tunamponda kwa back passes, lakini sasa hivi kajijenga vizuri,yupo vizuri, nahisi mfumo unamfavors.
Paka muda huu tunakosa kiungo mwenye offensive attribute nzuri ili kujenga fear factor kwa wapinzani kama alivyosema mdau hapo juu,ndio maana kila siku mimi nalia na Aouar.
Liver na Arsenal wanapitia pembeni kuattack,maana yangu timu lazima iwe na options nyingi kuattack ili tuwe clinical zaidi,Westham juzi kama tungekuwa na mtu wa kuwafungua katikati ni wazi wangekufa goli nyingi.If you have solid mid kuattack huja automatically. Liva ana kiungo gani mwenye sifa za Aouar?
yule farao achoki haraka ujue afu mtulivu sana kwenye kupokea na kuachia mipira kwa wenzake.Binafsi na prefer Xhaka Ceballos
Napenda sana wapo Rigid ,hivi kwanini mnasema Ceballos hana stamina?
Ni kweli Elneny anamzid Ceballos Stamina ?
Kwenye pass accuracy nawakubali wote.
Binafsi nampa credit sana Arteta, fans wa Arsenal kwa sasa tunakinzana hoja juu ya nani apangwe na nani ili tupate matokeo kirahisi na sio asipo kuwepo fulani ndio basi.Binafsi na prefer Xhaka Ceballos
Napenda sana wapo Rigid ,hivi kwanini mnasema Ceballos hana stamina?
Ni kweli Elneny anamzid Ceballos Stamina ?
Kwenye pass accuracy nawakubali wote.
Sebalos anamzid elnemy mipira ya kupitish penetletionBinafsi na prefer Xhaka Ceballos
Napenda sana wapo Rigid ,hivi kwanini mnasema Ceballos hana stamina?
Ni kweli Elneny anamzid Ceballos Stamina ?
Kwenye pass accuracy nawakubali wote.
Si Mkuu tumeazimana majukwaa tu
Unadhani sijui kama na wewe ni Liverpool lialia na mwisho wa Msimu Malafyale anakurudisha Nyumbani kwa wana Halisi?

Arteta ameshafuzu majaribio, HAJARIBIWIBig test kwa Arteta hizi fixture zijazo sio mchezo View attachment 1577285
Great observation gspain!!!Uko sahihi, Torreira si mbaya hata kidogo isipokuwa ni namna ya uchezaji wake na falsafa ya sasa ya timu zimepishana kidogo.
Ni kiungo mzama uvunguni ambaye ni mzuri sana kwa timu/kocha anaye penda kufanya man to man marking.
Man to man marking ni defensive technique inayo tumiwa kupokonya mipira wakati adui anakushambulia na kisha kufanya shambulizi la kustukiza (counter attack). Kama ulivosema Mou na 'Cholo' ni wazuri sana kwenye mfumo huo wa ulinzi.
Wakati kwa Arteta na wengine kama Guardiola na Klopp wanatumia 'defensive unit' (kukaba kama timu) wakati hauna mpira na kumnyima mpinzani space na hivyo kumpokonya mpira na kuanzisha counter attacks au kuanza kucheza kuanzia kwa kipa (playing/building from behind) na kumfanya mpinzani aje kukaba na kuacha space kubwa kwenye half yake inayokuwezesha kufanya counter attacks.
Hii style ya kina Arteta inahitaji viungo wanyumbulifu wenye quick transition mind wanaoweza kuutoa mpira kwenye kundi la watu kwa pasi ndefu (zenye macho) ama kudribble past players.
Ukimtazama Partey na Aouar wataongeza sana creativity kwenye midfield kama tukiwanasa.