Huyo Chelsea alitoa ulimi nje August mwaka huu au umesahau?Kwampira uliocheza jana unaomba ukutane na Chelseafc kweli!. acheni dharau.
Kukosekana kwa Kieran Tierny ,na Niles niliona mapengo yaoMlioangalia game nasoma huku tumecheza ovyo japo tumeshinda, nini shida kiungo?





Kuna mkoba wetu mwingine mbrazil aliumiaga mechi dhidi ya manciyt nani hiviBrazilian
Husikimbie tu,comment yako ni nayo.Karibuni sana mje muone wanaume wanavyo sakata kabumbu safi,lakini mwisho wa mechi msiwe wazito kuja kutoa pongenzi kwa wanachelsea,coz leo Liverpool hatoboi.
Muhispain yule Pablo Mari.Kuna mkoba wetu mwingine mbrazil aliumiaga mechi dhidi ya manciyt nani hivi
Tulimtoa Brazil sao pauloMuhispain yule Pablo Mari.
Mmeshinda sawa lakini kwawale walioangalia mechi hiyo ukweli wanaujua sema tu mwanaume huwezi ukayakubali mapungufu yako kirahisi.
Kwa Sasa , na Bado hatujasajiri eneo la kati, na Kufanya rotation ya kikos
Tulipambana , hao westham , walikutandika 3 juz juz tu hapaView attachment 1574965
Kukosekana kwa Kieran Tierny ,na Niles niliona mapengo yao
Saka alicheza vzr ,ila alicheza sana kama LCM , Sio Kama LWB kama ilivyotakiwa ili amsaidie sana Auba kupata space
Kolasinac alikuwa ovyo
Hivo hatukucheza vzr ukizingatia westham walihitaji Point. View attachment 1575032View attachment 1575033
Agreement between Atletico & Torreira
Simeone has called Arteta to close the deal
Talks of the possibility to include Torreira into the Partey deal in order to reduce the 50MEUR requested by the colchoneros for Thomas Partey Wamepigwa kinyama sanaMtu kapigwa huko
Vijana wa kutukana kwenye uzi wetu leo watakuwa na ajabu.Wamepigwa kinyama sana