Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
NEW: Atletico’s interest in Torreira has been confirmed. #AFC have rejected an opening ‘loan with an option to buy’ offer [info: @MatteoPedrosi]

I predict a draw, arsenal watafosi kupata sare, ilà kuwafunga is so unlikely. Liverpool bado ni timu nzuri na ngumu kufungika, kwetu sare itakuwa matokeo mazuri as tutakuwa hatujapoteza.36PL games to go..
Next opponent ni liverpool afu away,Mara ya mwisho kwenye league pale anfield Liverpool alifungwa mwaka 2017 Kama kumbukumbu zangu zitakua sawa,
Kiukweli game ni ngumu pande zote mbili,ila naona siku hizi Liverpool makali yake yanaanza kupungua yaani sio Liverpool ile ya kufanya pressing muda wote ya msimu uliopita,
Hata kwenye game ya leo jirani yetu kikubwa 'kilichom cost' ni ile red card na upambavu wa joginho kupiga penalty Kama anaruka mtaro,
Advantage yetu sasaiv ni kua tuna morali na at least tactics za mwalimu zipo vyema(sio za Yule tapeli unai maana kuna mechi vs Liverpool,Auba aligusa mpira Mara 14 tu),
Ni matumaini yangu Kama sajili Muhimu zikifanyika katika huu msimu Kama vile kuwaleta partey na aouar,Basi haters wote wajipange
My prediction
Liverpool 1:2 Arsenal
Lazio intermediaries are in London to try to seal a deal for Shkodran Mustafi. Arsenal want £11m. Reports, @Solo_La_Lazio! https://t.co/5DkMz4ULtP
Ndiye chaguo baada ya kumkosa Marc Roca
Mchezaji huyo anatamani kuichezea Atlético na amekataa ofa kutoka Italia
Napenda sana tuingie kwenye hii mechi kama underdogs ambapo liverpool wanaingia kwa kujiamini eti washashinda mechi.36PL games to go..
Next opponent ni liverpool afu away,Mara ya mwisho kwenye league pale anfield Liverpool alifungwa mwaka 2017 Kama kumbukumbu zangu zitakua sawa,
Kiukweli game ni ngumu pande zote mbili,ila naona siku hizi Liverpool makali yake yanaanza kupungua yaani sio Liverpool ile ya kufanya pressing muda wote ya msimu uliopita,
Hata kwenye game ya leo jirani yetu kikubwa 'kilichom cost' ni ile red card na upambavu wa joginho kupiga penalty Kama anaruka mtaro,
Advantage yetu sasaiv ni kua tuna morali na at least tactics za mwalimu zipo vyema(sio za Yule tapeli unai maana kuna mechi vs Liverpool,Auba aligusa mpira Mara 14 tu),
Ni matumaini yangu Kama sajili Muhimu zikifanyika katika huu msimu Kama vile kuwaleta partey na aouar,Basi haters wote wajipange
My prediction
Liverpool 1:2 Arsenal
Mimi bado sijatishika na Liverpool kabisa!Napenda sana tuingie kwenye hii mechi kama underdogs ambapo liverpool wanaingia kwa kujiamini eti washashinda mechi.
Tukiingia uwanjan ni mwendo wa kuwaachia wauchezee mpira...sisi tucheze counter attacks na kutumia makosa ya mabeki zao.
Hii mechi ni ngumu mno na na kipimo cha kwanza kwa arsenal katika safari ya top 4.
Duh!! Kweli mashabiki tuna attitudes tofauti,Yaani wakati wengine tunawaza kua mabingwa wengine Wana waza big 4,Napenda sana tuingie kwenye hii mechi kama underdogs ambapo liverpool wanaingia kwa kujiamini eti washashinda mechi.
Tukiingia uwanjan ni mwendo wa kuwaachia wauchezee mpira...sisi tucheze counter attacks na kutumia makosa ya mabeki zao.
Hii mechi ni ngumu mno na na kipimo cha kwanza kwa arsenal katika safari ya top 4.
Exacty, ukiona wote mnafanana attitudes ujue mmeoza utumbo.Duh!! Kweli mashabiki tuna attitudes tofauti,Yaani wakati wengine tunawaza kua mabingwa wengine Wana waza big 4,