Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bora vitu vyengine tuvimezee tu tusivilete humu.

Yaani na Sisi tunakubali mtu anapo muita torreira fringe player???
 
And believe me. Liverpool have got a diamond in their locker.

Congrats Don Clericuzio and King Ngwaba
 
Bora vitu vyengine tuvimezee tu tusivilete humu.

Yaani na Sisi tunakubali mtu anapo muita torreira fringe player???
Kwan fringe player ni nini?

Hao wachezaji kwa Mfumo wa Arteta kama Toreira hawezi ,sawa na Ozil , kwa hiyo James Oley kusema fringe player hajakosea , kwa wengine sio fringe

Ndio maana nasema ni rahis Elneny kuaminiwa chini ya Arteta kuliko Toreira , japokuwa Toreira anamzidi uwezo Elneny

Toreira ni rahisi kufanikiwa chini ya Simeon au Mourinho , kuliko type ya kina Elneny.

Inategemea ni fringe players kwa nani ,
 
Yaani mkuu humu kuna kamba nyingi sana.

Sometimes nikisoma posts za wana gunners wenzangu humu nafunika kombe tu.
 
Mikel Arteta:

"Kilichopo kwa sasa ni kwamba sisi sote tuko kwenye bodi, kutoka juu ya klabu na umiliki, na bodi yote, na Edu, mimi mwenyewe na wafanyakazi wanaotuzunguka, ya kile tunachojaribu kufanya. Tumeungana sana na nahisi tuko katika nafasi nzuri ya kusonga mbele. ”
 
Predicted XI for tomorrow vs West Ham.

ElNeny had a great game though we may need Ceballos’s creativity in midfield.

Don’t anticipate any other changes.
 
Tuko uwanjani leo

West ham United
EPL 2/38
Saa 22:00 EAT
Emirates Stadium
Michael Oliver

#coyg
 
Kwa mujibu wa Sebas Giovanelli ambae taarifa zake kuhusu wachezaji wanaotokea Uruguay ni za uhakika sana, anasema Diego Simeone amefanya mazungumzo na Torreira kwamba anamtaka msimu ujao.

#coyg
 
Arteta:

"Linapokuja suala la kipa, Inaki Cana(kocha wa makipa) ana maoni makubwa juu ya jinsi tutakavyotekeleza mbinu zetu, jinsi tutakavyowafundisha na jinsi tutakavyoshughulikia nafasi ya kipa kwa short , medium na long term "

"Ni dhahiri mwishowe ni mimi ambaye nitafanya uamuzi [ni kipa gani tunayenunua]. Lakini ni muhimu sana watu walio karibu nami kama Inak Cana ambao mara nyingi wana Uwezo maalumu kuliko mimi, ninawasikiliza sana na kujaribu kufuata hisia zao ni nini "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…