Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Fans saa nyengine pia ni wapumbavu.ulitaka aache jamaa amvunje? mnamuonea sana Nketiah, Ceballos kakosea sana kunyanyua Mguu dogo kachukia ila Fans wote wako against him
Kwanza ceballos wa kuja tu asitake kuzengua hapa



