Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mimi sio wanaosema mbona hatusajiri, bali sitaki usajiri kabisa wa Aouar na Partey naona na uhakika wa Torreira aliyefanya vizuri Premier League na Elneny kuliko watu kuja wa kuwapa muda kama Pepe.Ili tusajiri Aouar na Partey ,inabidi kwenye hawa Non home grown wapunguzwe watatu
Hivo basi Ni lazima tuuze kwanza ili tusajiri
Bado tunahitaji kipa wa kuziba Pengo la Martinez ambaye alikuwa kwenye kundi la home grown
Hivo wanaosema mbona hatusajiri ,wanatakiwa wajue hii sheria kwanza ,
Bila kuondoka Watu hapo ,huwezi kusajiri wapya ,
View attachment 1569953
Kweli kila Mtu ana Uhuru wa MAONIMimi sio wanaosema mbona hatusajiri, bali sitaki usajiri kabisa wa Aouar na Partey naona na uhakika wa Torreira aliyefanya vizuri Premier League na Elneny kuliko watu kuja wa kuwapa muda kama Pepe.
Usajiri wa kipa na kuwaondosha Socratis na Willock ndio usajiri ninaotegemea kabla ya dirisha kufungwa.
Mkuu, Partey ile mashine siyo ya kusubiri adaptation, yule ni straight into the first teamMimi sio wanaosema mbona hatusajiri, bali sitaki usajiri kabisa wa Aouar na Partey naona na uhakika wa Torreira aliyefanya vizuri Premier League na Elneny kuliko watu kuja wa kuwapa muda kama Pepe.
Usajiri wa kipa na kuwaondosha Socratis na Willock ndio usajiri ninaotegemea kabla ya dirisha kufungwa.
Subiri tunambeba kwa bei nzuri sanaHuyu Aouar alitakiwa auzwe £30m,OL wanaona wajanja sana ku-overvalue wachezaji wao,wasipoangalia kitawakuta cha Nabil Fekir soon
@TikiTakaConnor.

Kolasinac, lucas, sokratic wauzweIli tusajiri Aouar na Partey ,inabidi kwenye hawa Non home grown wapunguzwe watatu
Hivo basi Ni lazima tuuze kwanza ili tusajiri
Bado tunahitaji kipa wa kuziba Pengo la Martinez ambaye alikuwa kwenye kundi la home grown
Hivo wanaosema mbona hatusajiri ,wanatakiwa wajue hii sheria kwanza ,
Bila kuondoka Watu hapo ,huwezi kusajiri wapya ,
View attachment 1569953
Toa takataka hizo