Je Pullisic? Alikuepo?Haahaaaa Hata nyie naona auba kipepe willian kipa mikono mia emiliano Martinez hawakucheza
Je Pullisic? Alikuepo?Haahaaaa Hata nyie naona auba kipepe willian kipa mikono mia emiliano Martinez hawakucheza

Ah weee huyu si kazamisha jahaz la timu inaitwa Chelsea?Namsemea Huyo....View attachment 1560384
QUOTE OF THE DAY




Pulisic majeruhi mzee acha ushamba......Je Pullisic? Alikuepo?
Eeeh ebwana eeh hahaha alianza kocha kumbeBellerin
Siyo mwenzetu huyu
Tuishi humu View attachment 1560387View attachment 1560388
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Nilikua sijui ndo maana nauliza. Kwani golini alikaa Kepa?Pulisic majeruhi mzee acha ushamba......View attachment 1560458
KWA kipi alichofanya goli LA offside au....mbona hakuzamisha majahaz ya wagiriki olympiacosAh weee huyu si kazamisha jahaz la timu inaitwa Chelsea?
Hahahaha dahEeeh ebwana eeh hahaha alianza kocha kumbe



haupo serious mzee wa kazi.Ndio alikaa kepaNilikua sijui ndo maana nauliza. Kwani golini alikaa Kepa?
Hii mihemko tu ya washabiki baada ya furaha ya ushindi...Eeeh ebwana eeh hahaha alianza kocha kumbe
Seeing our Hale End boy Bukayo Saka celebrate his 19th birthday just reminds us what a remarkable pool of talent we possess at Arsenal Football Club.
The future is bright
•••View attachment 1560454
Magufuli katoa ajira za ualimu changamkia fasta,usije kuwehuka kwa ganja.Eti stressnani ana stress au unayajua maisha yangu
View attachment 1560376
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hizo Bangi za chooni zinakusaidia nini we mlevi?Hii ni Gaygoooners Fc mkuu
Bellerin ana kishunduView attachment 1560399
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Nelson anaenda kukua vzr msimu ,nketiah bado anahitaji game timeBinafsi. Willock, Nelson na Nketiah nawaona kama wako nyuma sana kimaendeleo na wanapata nafasi kwa sababu hatuna backup players wazuri kwenye timu. Hao wengine wanajitahidi. Nakumbuka Michael Owen alikuwa msumbufu sana tu akiwa mdogo kuliko hawa. Ryan Giggs naye kama sikosei. So tusiwaendekeze kuwa bado vijana, wanatakiwa kupiga kazi.
Willock mpaka tusajili AMD mwingine otherwise hawez kutokaNelson anaenda kukua vzr msimu ,nketiah bado anahitaji game time
Willock aende mkopo
Atakuwepo tu hata tukisajiri ni moja ya home grown player , hata msimu huu pamoja na ufinyu wa kikos ,bado Mikel hakumuamini kumuanzisha kikos cha kwanzaWillock mpaka tusajili AMD mwingine otherwise hawez kutoka
Game ya Liverpool alipoingia yeye na Kolasinac tukarudi mchezoni Kiungo ilikuwa imechoka balaa tunapigiwa nusu uwanjaAtakuwepo tu hata tukisajiri ni moja ya home grown player , hata msimu huu pamoja na ufinyu wa kikos ,bado Mikel hakumuamini kumuanzisha kikos cha kwanza