Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Juzi mmewapiga ngapi Brighton?
Na ndo mkome kubweka ovyo kutoa sare na Brighton mmebweka kweli ...
IMG-20200905-WA0127.jpg
 
We humjui mchezaji wako comrade kipepe na hela yote ile kaishia kufunga goli 5 za ligi
Ndiyo nani huyo? Au unamsema aliyempa assisst Aubameyang fainali ya FA na timu moja hivi inaitwa chelsea?
 
Aah kumbe huyu.

Sasa huyu mbona siyo beki? Au hauoni ile ni hesabu ya defense? Huyu ndiye alitoa assisst ile fainali ya FA siku Arsenal inacheza na katimu kanaitwa chelsea. Uliiangalia mechi?
Nakumbuka si mlishinda hii shilingi[emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums-1299370846.jpg


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom