Hehehehe Kumbe tulishinda? Mi hata sijui ndiyo wewe unanipa habari muda huu.Nakumbuka si mlishinda hii shilingiView attachment 1560378
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo kachelsea kalipigwa ngapi?
Hehehehe Kumbe tulishinda? Mi hata sijui ndiyo wewe unanipa habari muda huu.Nakumbuka si mlishinda hii shilingiView attachment 1560378
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
kumbe ushapata kazi. Hongera
Haahaaaa Hata nyie naona auba kipepe willian kipa mikono mia emiliano Martinez hawakuchezaAahh wewe acha uongo chelsea katoa suluhu kwa Brighton? Kwani Werner hajacheza?
Mbona inaonesha ni jobless
Namsemea Huyo....Ndiyo nani huyo? Au unamsema aliyempa assisst Aubameyang fainali ya FA na timu moja hivi inaitwa chelsea?
Mbona umechagua hao tu? Liver anawachezaji hao tuNamsemea Huyo....View attachment 1560384
Tuishi humuChelsea mnapata wapi nguvu ya kuja humu kupiga mboyoyo wakati tumewanyoa bila wembe juzi tu hapa

Tuishi humuHawa watoto mchelemchele wanafata nini humu....kwani kipigo cha FA hakiwatoshi.kama wanataka tuwaongeze waseme tu Arteta yupo kwa ajili ya kazi hiyo..

Wenzenu wamegharamikia hvyo nyie mmenunua kipepe mmojaMbona umechagua hao tu? Liver anawachezaji hao tu
Hahahaha hawa leo watajutaWenzenu wamegharamikia hvyo nyie mmenunua kipepe mmoja
Za usoooView attachment 1560398
Au siyo.!We kilaza, that is how businesses are financed
Aisee huyu bellerini kuna namna hapaHahahaha hawa leo watajuta
Tuishi humuView attachment 1560400
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app

#AFC