Kabisa. Akiendelea kuimarisha team na kushinda mechi nasi tutazidi kupanda juu. Kwa sasa inaonekana midfield ndilo enelo la kuimarisha na wanaonesha nia ya kutaka kuimarisha. Attack iko vizuri tuombe iwe vizuri zaidi. Tunahitaji magoli zaidi kutoka kwa akina Pepe na Laca, hata kutoka midfield na defense ili Auba apunguziwe presha. Defense ikiimarika tukawa wagumu kufunga timu zitapaki basi. Hapo sasa pia naomba iwe hivyo tuongeze ubunifu tuione tena ile Wengerball ya enzi za kina Pires, ingawa itakuwa Artetaball. Watu wapate burudani, siyo kama enzi za Emery hata timu ikishinda watu bado kwa sababu game iliboa.
Uzuri ninachompendea Arteta timu kupiga mpira mzuri itapiga , refer Mech na mancity pass 18 had goli kuanzia kwa kipa ,
Pia swala la kudefend analiweza kitu ambacho ni kipya kwa Arsenal miaka yote ,
Kuna mechi ukishinda unatakiwa kufunga duka , hii kaz Arteta anaiweza
Hapa imebaki kuimarisha eneo la kiungo kupata ubunifu
Uwepo wa Pivot ya xhaka Ceballos juu yao acheze Aouar au willian
Au Xhaka Partey juu acheze Willian au Aouar
Katika mfumo wa 4-3-3 anaouhitaji sana Arteta ,amekuwa akiusema sana
Kule mbele sina hofu, Uwepo wa Auba laca pepe
Kukiwa na huduma bora ya viungo kutakuwa na magoli mengi sana
Tusimsahau willian anaweza kucheza kwa Pepe RW , na akatengeneza flow kali wakiwa na Auba .
Cha muhimu tuwe wavumilivu , Wakamilishe usajiri wa hawa viungo , timu itakuwa imekamilika
Tunahitaji hao wachezaji wawili tu maana wana Quality , sio kujaza Average players kibao