Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Don't worry, @DaniCeballos46 - it's still ready and waiting for you


🇩🇨
 
Maana yake nini?
Ni wimbo ,Dani ceballos alitungiwa na mashabiki wa Arsenal


"Dani Ceballos,
Dani Ceballos,
He drinks Estrella, he eats paella,
The boys fucking magic."


Estrella ni kinywaji/beer ya huko barcelona /Spain


Paella ni wali wa kispania



Angalia picha hapa chini
 
Ndio maana anaipenda sana Arsenal , unadhan sio loan

Anasema

: "Mashabiki waliniamini (kwa 100%) kwa kunionyesha upendo mwingi. Nilipokuwa nyumbani walikuwa wakinitumia ujumbe wakiniambia nirudi na kusema kwamba wananihitaji hapa. Ninajivunia kuwa katika hii klabu, kwa huyu Kocha na - muhimu zaidi - mashabiki walinitaka nibaki. "
 
Ingekua wanamuimbia Samatta wangesema;

He drinks mbegee and eats ugali
 
Hivi Arse8 niwaulize, ukimtoa auba (msaliti) nani mwingine ana potential ya kufunga magoli? Maana hata fainal ya FA na CS ni Auba pekee ndo alitupia..amuoni mna mtu mmoja tu wa kutegemea kutupia!?

Angalau Chelsea tuna Timo, tuna Kai, Pulisic..

Mtajuta huu msimu. Mtapoteana umu...

#CFC


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
mkabeni kwanza huyo mmoja
kama mnamshindwa mwengine wa nini ?
 
Ni juu yako kukariri watakaokupiga goli. Sisi ni kuutazama ubao unasomaje.
 
Ona huyu kaja na huku! Em tuliza hiyo chupi ya buluu wewe..

Af nyie mnaona huyo Timo sijui Havertz ni wachezaji eeh??!

Subiri msimu uanze, maana tushazoea kelele zenu za kutaka kufukuza kocha kila msimu.
 
Hahaha natarajia desemba mutabaki watano au wanne hivi umu jukwaani, wengi watakuwa wamejibipiga ban..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Nikutoe wasiwasi tu.

Ligi naanza kuiongoza mimi kuanzia gameweek 1 maana siwezi kumuacha Fulham, timu iliyopita kwa bahati kwa Play-off. Na game yetu ndio ya kwanza, namnyonga mtu mapema 14:30.

Kitendo cha kumuacha Arteta aongoze pale juu basi ni msiba kwenu


Nyie chupi za buluu nitakuwa nawaangalia kwenye nafasi ya 6 mkiwa mnapambana na Sheffield.
 
Sisi tulitumia watoto wa Academy msimu uliopita na tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Ninyi mkasajili tena kwa pesa za mafungu mafungu mkaishia nafasi ya nane huko hamko siriyazi mazee


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…