Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Sema Edu kiingereza chake sio kizuri sana.Napendaga zile interview za edu anazofanyaga baada ya usajili.
Siku zote anatupa clue ya kitu
Leo kasema ' list of quality players we are bringing in."
Hakuna mchezaji wa kijerumani aliyefeli pale Chelsea angalia Kai kitu atawafanya, achana na Timo..Wewe pambana uwakute Kimafanikio Arsenal Ledies kwanza
Unapoambiwa London Is Red uwe unaelewa ,sawaView attachment 1557859
Tukikutana na ninyi, uyo Auba atakuwa beki ..thna Kai, Timo na Ziyech ..utatu mtakatifu..ntakula nane zileeeeeeeKepa hata Nottingham forest hapati namba. Kwani si yeye mwenyewe kaomba kujiuzulu kwa kiwango chake kibovu?
Jamani msiite mods. Naswitch
Kama wao akina nani? Acheni kutumia ligha za ajabu ajabu ..mkiitwa gaygoooners mna mindunaanza kuwa kama wao.....zamani kwenye Hii Thread kulikuwa na ustaarabu sana
kabla miaka ya kufulia kwa wenger tulikuwa tunataniana bila shida hapa mambo ya matak*""* mnayatoa wapi?
by the way Wacha1 yupo?
Hahaha yani mkuu acha tuPoint uliyoongea hapo mechi 77-65=12 hesabu mechi 10 napunguza gap mechi 7 namaanisha nakufunga zote pengine hizo zilizobaki unaweza toa draw kwa sababu toka 2010 tumekutana mara 30 sisi tumeshinda mara 13, nyie mmeshinda mara 10 draw zilikua 7
Makombe 48-35=13 hapo unajua mwenyewe nini kitafuata ndani ya muongo mmoja ujao tunazidi kupunguza gap kwa sababu toka 2010 nimeshinda makombe 10 wewe umeshinda 5 unataka nikwambie nini unachohofia kwa Chelsea ndani ya miaka 10 ijayo? Mshaanza kuelewa wenyewe.
The rest ulichoandika huko chini ni ushabiki tu. Hili swali jiulizeni na mjijibu wenyewe timu bora kwa sasa ni ipi?Majibu bakini nayo wenyewe. Ukweli unaumwa nyie acheni tu.
London will always be blue
We kenge tutolee utopoloHabari mnayo TAKATAKA nyie View attachment 1558859
Ni nini hizo sasa ?Hakuna mchezaji wa kijerumani aliyefeli pale Chelsea angalia Kai kitu atawafanya, achana na Timo..
Izo Community shield ndo unahesabu ni vikombe
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kuondoka kwa toreira ,Smith Rowe , kunaacha gepu la kuongeza kiungo mwingineLucas Torreira to Fiorentina
Reports from Italy yesterday said that this deal was basically done. Agreement between the two clubs, agreement between Torreira and Fiorentina, agreement between Torreira’s agent and everyone, agreement on price, wages, where he’s going to live, how he’s gonna look in purple, and who is going to pick him up from the airport.