Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Partey-Xhaka-Aouar
Kweli Arteta kaamua!.. Hiyo combination mbona tutaangusha milima!Partey-Xhaka-Aouar
Leno ni Prefered first Choice GK na Arteta...Mkuu bado una imani Leno atacheza mbele ya Martinez![]()
Kubaki kwa AMN baada ya Perfomance ya Juzi lazima auzwe RB mmoja so Hapo Bellerin atauzwa kuachia spaceKwanini Bellerin auzwe,Je ni injury prone, kashuka uwezo au hafit formation?
Maana binafsi naona kama karudi Sharp zaidi kwenye machi ya juzi
Sales ni majanga kutokana na aina ya Wages wanayopewa Arsenal kuwa KubwaLatest on Thomas Partey
Still Arsenal's priority target
He wants move, but won't force his way out
Atletico standing firm
Sales key to Arsenal's hopes
Full story
Atletico Madrid star Partey keen to join Arteta's Arsenal revolution | Goal.com
Arsenal Itacheza sana 3-4-3 System ndo maana Arteta katafta sana Beki "Sweeper" anaetumia LEFT FOOT kama Pablo mari na GabrielUsajili Updates:
1. Mkhitaryan amekwenda Roma na Arsenal wamevunja mkataba nae.
2. Rob Holding anakwenda Newcastle kwa mkopo.
3. Dani Ceballos anarudi Arsenal kwa mkopo tena bila option ya kuwa mchezaji wetu wa kudumu.
Arsenal wanaweza kutangaza usajili wa Gabriel baadae leo jioni.
Arsenal ijayo inatarajiwa kuwa kama ifuatavyo:
Mtindo: (4-2-3-1) Leno; Bellerin, Saliba, Gabriel, Tierney; Ceballos, Xhaka; Pepe, Willian, Aubameyang; Lacazette.
Nitaskitika sana bellerin akiuzwaUnless kama anataka kuondoka ila sioni sababu ya kumuuza.
Hata mimi sijaipenda hiyo mkuuNitaskitika sana bellerin akiuzwa
Kama kigezo ni Consistency basi sawa,lkn ujue upande wa Mane na Robertson ni strong, beki yoyote angepata shidaKwa upande wangu najua bado Belle ni mdogo, 24 kama sikosei..
Ila tatizo lake ni moja tu, hana consistency nzuri. Game hii atakuwa vizuri game ijayo anakuwa flop.
Kuhusu game ya juzi ya Liva sio kweli kwamba alikuwa vizuri kwa asilimia zote.
Kama uliangalia vizuri, mashambulizi yalikuwa yanatokea sana upande wake ambapo walikuwepo kina Mane na Robertson.
Mi naona kama itakuja pesa nzuri kwenye £35m hivi, jamaa aachiwe tu. Na sina shaka nafasi yake itazibwa vizuri na AMN 'cuz AMN ni mzuri kwenye kukaba, kumiliki na kushambulia pia. Back up yake inakuwa Cedric.
Bellerin kiwango chake kimeshuka sana angalia 3 years ago na sasa video zake ndio utaamini kwa sasa hatabiriki na Arteta anajua hilo Sema wote hao ni wacatalunya huwa wanapendana sana hao watu ila bellerin kumaliza dk 90 kwa sasa kwake ni ngumu lazima afanyiwe sub kuna mambo mawili yanayoangusha kiwango chake either ni kudeal zaidi na mambo ya fashion or kuanza kutumika mapema sana kwa sasa ana 25 ila kaanza kucheza nafikiri ana 16 or 17 sasa ni wachezaji wachache sana huwa wanamudu na kuwa na consistency katika umri huo walioanza kutumikaKama kigezo ni Consistency basi sawa,lkn ujue upande wa Mane na Robertson ni strong, beki yoyote angepata shida
Huyu nyumbu mpaka sasa hajasajili halafu analeta chupi yake huku kwa wanaume waliojiimarisha.
Utakuwa nyumbu ww , ignore inakuhusu
Huyu nyumbu mpaka sasa hajasajili halafu analeta chupi yake huku kwa wanaume waliojiimarisha.
Guardian claiming PSG have offered £25m for Hector Bellerin.
Say we push them in their final offer to pay between £30-£35m.
Ukiona hizi habari unaumia eeeh?![]()


Mwendo wa ngapi ngapi?View attachment 1556062
Sasa hivi wekeni kwanza habari za belerini hadi apate mteja halafu ndio mtumie hiyo 30 kuleta wachezaji.
Timu lina njaa kama Yanga bhana!
Arsenyeto!
Mapunga yamekusanyana yameenda kuunda timu.Unajiimarisha au unafikiria kujiimarisha.
Mapunga yamekusanyana yameenda kuunda timu.
Timu nzima watu wana matako makubwa hadi mkicheza na timu pinzani mnawafunga kwakua wanashangaa miwezere ilivyozagaa uwanjani.
Wajinga sana shwain nyinyi.
Mimi mechi za Cheltako siangalii nikiangalia hua nadinda... halafu na mashabiki mmeambukizwa. Wote mna mizigo hatari hebu tuma picha yako nikuone wewe pig
Zidane kasema Hazard kamuambia asimpange kipindi hichi ambacho timu ikicheza bila mashabiki matako yake yanasikika yakipiga kelele uwanja mzima.Timu linaendeshwa kwa vikoba. Hivi mkiuza belerini hiyo hela mnasajilia au mnalipa mkopo wa Pele.
Nahisi maarsenyeto yote yako kwenye vikundi vya akina mama ili yakope hela ya kusajilia ndio maana mna tabia za kukazwa kazwa.
Tuma picha yako tuone kama haupo na wanawake wenzako unatafuta hela ya kusajili.
Kumi mbili fc
Arsenyeto