Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna timu haina hata champion lig hata ila kila siku kujipitisha kwenye timu zenye champ lig na uharo kibao
 
Swali kwa gunners wenzangu. Kuna mchezaji wa timu pinzani ambaye unatamani angekuwa kwetu lakini ndiyo hivyo tena? Kwa mfano mimi namkubali Harry Kane wa Sp*rs (Eddie Nketiah asepe aje huyu jamaa 😃) na Pulisic wa Chelsea. Dogo anajua aisee.
 
UTO kama UTO
Mnaongea sana
JamiiForums1136287452.jpg
 
Atletico Madrid are keen on Alexandre Lacazette, who now has less than two years left on his current contract.
Talks over the future of the French striker, who returned to London Colney on Monday, are expected to take place over the next fortnight. [@charles_watts]
 
Back
Top Bottom