Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

KUTOKA KWA DAVID ORNSTEIN

HUYU NI TIER 1 KWA HABARI ZA UHAKIKA

This would likely see Maitland-Niles stay & be 1st choice RWB, Soares back-up. Arsenal interest in Partey remains + discussions taking place over Aouar. Ceballos returning to London in coming days - hearing #RMFC will waive loan fee in exchange for #AFC paying full wage this time
 
Kutoka kwenye Podcast ya David Ornstein

Arsenal kumuuza bellerin PSG

Mazungumzo yanafanyika kwa Partey na Aouar

Partey na Aouar itagharimu £100m

PSG wamewasilisha ofa ya £25-30m kumtaka bellerin ,

Arsenal wanahitaji Angalau £35m wamuachie , Bellerin amebakiza miaka miwili kwenye mkataba wake

Inaonesha Niles atakuwa chaguo la kwanza Kama RWB, Akisaidiana na Cedric

Ceballos anarejea rasmi kwa mkopo
 
A deal is quickly being sorted betwen Arsenal and Lyon which will see Houssem Aouar head to Arsenal and Matteo Guendouzi go the other way. Lyon were reluctant on the swap but in light of recent news (JRA), it is understood that I just fucking wasted your time. [@lequipe]
 
Kutoka kwenye Podcast ya David Ornstein

Arsenal kumuuza bellerin PSG

Mazungumzo yanafanyika kwa Partey na Aouar

Partey na Aouar itagharimu £100m

PSG wamewasilisha ofa ya £25-30m kumtaka bellerin ,

Arsenal wanahitaji Angalau £35m wamuachie , Bellerin amebakiza miaka miwili kwenye mkataba wake

Inaonesha Niles atakuwa chaguo la kwanza Kama RWB, Akisaidiana na Cedric

Ceballos anarejea rasmi kwa mkopo

Endelea kuweka ndoto zenu za mchana.
 
Guardian claiming PSG have offered £25m for Hector Bellerin.

Say we push them in their final offer to pay between £30-£35m.

It Seem like Niles ndio RB, na RWB
 
Kwanini Bellerin auzwe,Je ni injury prone, kashuka uwezo au hafit formation?

Maana binafsi naona kama karudi Sharp zaidi kwenye machi ya juzi
Amebakiza miaka miwili

Arteta want to keep ,lkn Naona wanamtoa kafara ,sababu Niles anapendwa sana na Arteta ,na ameahidiwa game time zaidi

Hivo Bellerin anauzwa na hela inaongezwa kwenye bajet waletwe Partey na Aouar ambao mazungumzo yameshaanza

Source; David Ornstein
 
Kwanini Bellerin auzwe,Je ni injury prone, kashuka uwezo au hafit formation?

Maana binafsi naona kama karudi Sharp zaidi kwenye machi ya juzi

Kwa upande wangu najua bado Belle ni mdogo, 24 kama sikosei..

Ila tatizo lake ni moja tu, hana consistency nzuri. Game hii atakuwa vizuri game ijayo anakuwa flop.

Kuhusu game ya juzi ya Liva sio kweli kwamba alikuwa vizuri kwa asilimia zote.
Kama uliangalia vizuri, mashambulizi yalikuwa yanatokea sana upande wake ambapo walikuwepo kina Mane na Robertson.

Mi naona kama itakuja pesa nzuri kwenye £35m hivi, jamaa aachiwe tu. Na sina shaka nafasi yake itazibwa vizuri na AMN 'cuz AMN ni mzuri kwenye kukaba, kumiliki na kushambulia pia. Back up yake inakuwa Cedric.
 
Bado viungo na CF. Ceballos karudi ni deal poa. Waongezwe wingers na viungo
 
Conversations have taken place between Arsenal and Lyon for playmaker Houssem Aouar. [Athletic]
 
Bado viungo na CF. Ceballos karudi ni deal poa. Waongezwe wingers na viungo
Usiwe na wasiwasi , Arteta anajua anachokifanya ,

Bellerin na Niles wanahitaji game time ,hivo lazima mmoja auzwe, ukiangalia Niles ni kipenz sana cha Arteta ,amekuwa akimtuma big match na hamuangushi anachomtuma

Ilikuja ofa ,Arteta kazikataa , japo bodies ilikuwa tayari kumuuza

PSG hao wamekuja mezani, Ofa ya £30m ,Arsenal want at least £35m

Bellerin kabakiza miaka miwili tu ,

So David Ornstein anasema Niles atakuwa chaguo la kwanza ,na Cedric kama backup

Pia mazungumzo kuhusu Aouar yanafanyika

Awali walituma ofa ya £44m+ gunduz wakasema wanaifikiria hawakuikataa jumla

Pia Partey pia ,

Zaidi soma hapa

Arsenal are in discussions over Aouar, and they still want to sign Thomas Partey. [@David_Ornstein]

This would likely see Maitland-Niles stay & be 1st choice RWB, Soares back-up. Arsenal interest in Partey remains + discussions taking place over Aouar. Ceballos returning to London in coming days - hearing #RMFC will waive loan fee in exchange for #AFC paying full wage this time
IMG_20200902_000942.jpg
 
Back
Top Bottom