Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
gary cahill mkali tatizo bei yake mbaya kinomaa.
We kweli Mzee Wenger, yaani unasema Gary Cahill bei mbaya.Nenda zako nyumbani ukalete kijana mwingine
gary cahill mkali tatizo bei yake mbaya kinomaa.
Anauchungu wa kutemwa Arsenal,kachezea Arsenal toka 1997-1999.Huyu Boa morte huwa anatusumbua sana inabidi tuwe makini.
Kumbuka kabla ya Ipswich tuna Leeds this coming wednesday,tulifanya mafyongo nao game ya kwanza sasa tunawafata kwao.Kweli mkuu ugenini tuawaka zaidi ya home. Ngoja tuone next jumanne tunakutana na Ipswich nione itakuwaje home!
We kweli Mzee Wenger, yaani unasema Gary Cahill bei mbaya.Nenda zako nyumbani ukalete kijana mwingine
Naona mnamfukuzisha kazi Myahudi wa watu....
Arsenal boss Arsene Wenger: "We are up for the game and our main priority this season is to win the Premier League. I think Theo Walcott has made a big improvement this season, he's much more consistent."
Mkuu sisi tunawajenga wachezaji wetu tangu wadogo tunaongezea tu ... .. na wote wanaoondoka huwa hawendi mbali angalia Hleb, cashcole, na wengine wengi tu ... ..
Khe khe kwa sababu waliwabugiza goli nne mtungi khe khe kheeeeee
Prof yuko kazini.
ha ha ha wewe kesho tutaongea vizuri.
Yes ni kweli wachezaji wengi wanaohama Arsenal wakienda timu nyingine hawafanyi lolote nahisi Mr Bean anawaroga mfano Henry,Flamini,Hleb,Bentley,Pennant na wengine kibao
We kweli Mzee Wenger, yaani unasema Gary Cahill bei mbaya.Nenda zako nyumbani ukalete kijana mwingine
heeh bent bei yake inaweza kufika pound milioni 24 ukiweka clauses, magoli na appearances naona hizo hela za bent spurs ndio wametumia kumnunulia pienaar? Jamaa hastahili hiyo price tag ila kwa kuwa ni muingereza lazima awe bei juu ila kiukweli jamaa mfungaji mzuri sana, sunderland sasa watamtaka Danny Wellbeck on a permanent deal
Unahama Sunderland then unahamia Aston Villa ambao huenda wakashuka daraja,huyu jamaa hamna lolote alichemsha hata Spurspienaar spurs wamemchukua kwa bei poa tu manake ukitaka kuongea nae ilikuwa kuanzia pound mil 3.nashangaa liverpool wameshindwa ku-bid kwa pienaar angewasaidia sana kati.pienaar spurs pale watu wamejaa midfield redknapp anafanya tamaa sasa tuone nani atakula bench baada ya champions league .
Sunderland wameshindwa kumzuia bent kutoka na hela nyingi sana wataweza kupata striker mzuri mwingine na kuongezea mchezaji mwingine nafasi yoyote hile yenye upungufu.
Unahama Sunderland then unahamia Aston Villa ambao huenda wakashuka daraja,huyu jamaa hamna lolote alichemsha hata Spurs
pienaar spurs wamemchukua kwa bei poa tu manake ukitaka kuongea nae ilikuwa kuanzia pound mil 3.nashangaa liverpool wameshindwa ku-bid kwa pienaar angewasaidia sana kati.pienaar spurs pale watu wamejaa midfield redknapp anafanya tamaa sasa tuone nani atakula bench baada ya champions league .
Sunderland wameshindwa kumzuia bent kutoka na hela nyingi sana wataweza kupata striker mzuri mwingine na kuongezea mchezaji mwingine nafasi yoyote hile yenye upungufu.
Unahama Sunderland then unahamia Aston Villa ambao huenda wakashuka daraja,huyu jamaa hamna lolote alichemsha hata Spurs
Naukiangalia nafasi ya sunderland sasa hivi labda kuna mambo ya ndani ndio yamemkera nakutaka kuondoka.
Aston Villa wamedouble mshahara wake aliokuwa nao Sunderland, what do you expect....there's no such thing as loyalty in football anymore.
Naona Dennilson kamwaga mtama kwenye kuku wengi....kazi ipo. Mimi nina swali hivi kuwa beki arsenal shurti utoke nchi inayoongea kifaransa au ufaransa kwenyewe?