Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
According to @RodrigoRomano76, #Arsenal would give the 'yes' to Fiorentina to loan Lucas Torreira with a purchase option for €18m.
ThanksZikija wiki ijayo nitakujulisha
Haijulikan ,maana hata picha za mazoezi hawajazitoaHivi kuna uwezekano wa Willian kucheza leo? Maana sijamuona kabisa kwenye mazoezi na wenzake.
Usiogope, hii Arsenal ya sasa hivi haihitaji watu waogaHawa Liverpool wakua nao makini sana. Hii kujidai tunachanganya kikosi tunaweza kuchezea mkono au wiki.
Nakubaliana na wewe. Ila itakua vipi liver wake first eleven yao halafu sisi tuchanganye kikosi cha kwanza na watoto wa under 23? Tuongee uhalisia na sio kujitia umwamba wa hatuogopi.Usiogope, hii Arsenal ya sasa hivi haihitaji watu waoga
Kawaida hiyo,tunacheza na under-23 kila mara, Saka,Nketiah,Willock,Matteo,MartinelliNakubaliana na wewe. Ila itakua vipi liver wake first eleven yao halafu sisi tuchanganye kikosi cha kwanza na watoto wa under 23? Tuongee uhalisia na sio kujitia umwamba wa hatuogopi.
Ndgu hiv sebalos bad ypo au kaondk?View attachment 848157
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
View attachment 848163
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch 105m x 68m
View attachment 1538867
Owner: Stan Kroenke
View attachment 848173
Chairman: Sir John Chippendale "Chips" Lindley Keswick
View attachment 1511007
Head Coach: Mikel Arteta
Arsenal Trophies:
League Tittles: 13
First Division/Premier League Champions: 13 (1930/31, 1932/33, 1933/34, 1934/35, 1937/38, 1947/48, 1952/53, 1970/71, 1988/89, 1990/91, 1997/98, 2001/02, 2003/04)
European Trophies: 1
UEFA Cup Winners': 1 (1993/94)
FA Cup Trophies: 14 (1929/30, 1935/36, 1949/50, 1970/71, 1978/79, 1992/93, 1997/98, 2001/02, 2002/03, 2004/05, 2013/14, 2014/15, 2016/17, 2019/20)
League Cup: 2 (1986/87, 1992/93)
Community Shield: 15
FA Charity Cup/FA Community Shield: 15 (1930, 1931, 1933, 1934, 1938, 1948, 1953, 1991, 1998, 1999, 2002, 2004, 2014, 2015, 2017)
Other Trophies
League Centenary Trophy: 1 (1988)
Inter-Cities Fairs Cup: 1 (1969/70)
View attachment 1542905Follow this thread for team updates!
Arsenal Football Club celebrate as they Crowned The Emirate FA Cup Winners(2020)
View attachment 1542904
Arsenal Premier League Timetable of 2020/21
Arteta amesema wameongea nae ,ana matumain atarudi ,kama Madrid watakazaNdgu hiv sebalos bad ypo au kaondk?
Kweny gme ya leo inakuwaje anacheza ama?Arteta amesema wameongea nae ,ana matumain atarudi ,kama Madrid watakaza
Basi jua lazima aletwe mbadala wake , kwasasa karud Madrid kwenye timu yake
Hayupo kabisa ,yupo bado MadridKweny gme ya leo inakuwaje anacheza ama?
Usishangae pia ukimuona na GuendouzHayupo kabisa ,yupo bado Madrid
Leo prediction huenda Ikawa Xhaka Toreira au Xhaka Elneny aliyerud bado anatafuta timu alikuwa loan beskitas
Elnemy labd habadlik uchezj lkin km akichez vle gme 2napotezHayupo kabisa ,yupo bado Madrid
Leo prediction huenda Ikawa Xhaka Toreira au Xhaka Elneny aliyerud bado anatafuta timu alikuwa loan beskitas
Arteta nae mduanz kwel hiv unajua kwny mpira nafac ya kat ndo ya umuhim sana ssa yy mbon hazngatii hlo daaaaaHayupo kabisa ,yupo bado Madrid
Leo prediction huenda Ikawa Xhaka Toreira au Xhaka Elneny aliyerud bado anatafuta timu alikuwa loan beskitas
Elneny mbona mzuri tu, napenda aina ya uchezaji wake akiwa kama Deep laying midfielder..Elnemy labd habadlik uchezj lkin km akichez vle gme 2napotez



Hpna ypo slow mkuu tena sanaElneny mbona mzuri tu, napenda aina ya uchezaji wake akiwa kama Deep laying midfielder..
Halafu anapiga pasi uhakika, mara chache kuharibu. Na ana confidence ya kutosha.
Na ni mzuri sana kwenye ukabaji akisaidiana na Xhaka.
Sina shaka game ya leo wakiwekwa pamoja watafanya vizuri sana.