OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Mkipigwa leo Aaron Arsenal atapotea kama wiki hivi afu akirudi ataendelea na updates zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapotei mtu mzee, Gunners chama kubwa, hizi mechi za under-23 zisikupumbaze[emoji23][emoji23]Mkipigwa leo Aaron Arsenal atapotea kama wiki hivi afu akirudi ataendelea na updates zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko sahihi Kepa ni bora zaidiSasa wewe unataka hauzwe kwa pound ngapi?? Uyo na samata nani ana thamani?
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]