Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Auba anatoshaWako wapi hao Aouar na Partey?
Auba anatoshaWako wapi hao Aouar na Partey?
Wanateseka mkuuKwan mbona unateseka ?kumbe unafatilia habari kwa u karibu
Kama hatujamtangaza tatizo lipo wapi, ikiwa ni Arsenal player tayari
Tukutane Ground
Kwahiyo unaumia kuleta updates?Ila huyu Aaron Arsenal anavyowafanyia wenzie na mi updates ya li timu lao, hahahaaa... Halafu mambo yakiwa hovyo anawatelekeza kama wiki. Akirudi anasema kasoro za hapa na pale, mi updates inafuata. Be honest, ki uchumi clubs nyingi sana ulaya zipo hoi kwa sababu ya corona. Chelsea anasajili sana sasa hivi kwa sababu alikuwa kwenye adhabu, kwa hiyo hakutumia fedha zake kihivyo, na licha anasajili Sasa hivi, michezaji anayosajili ni vimeo. Kai ndiyo mchezaji wa maana, na shughuli yake ni pevu kumpata.
Kwan ww umeelewaje ?maana upo kwa ajiri ya kupingaHahahhahhahahhahah.
Hiyo board ndio inasema Kinoma sio?????
Jamaa yangu wewe ni nouma
Kweli Wewe shimbaHaahaaa Hamna kitu hapo VP mbona auba hasign?
Ukiona hivi wanahaha ,Bado kuna jumatatu nyingi mkuumbona mnatusakama sana wajameni!!
Wewe nawe kiazi kweli, Hao ni Target tunazohitaji, Hadi Oct 6 tutajua kama.wamefika au lahWako wapi hao Aouar na Partey?
Toka tukubonde pale Wembley ,unateseka sana ,Lol. Arsenal bhana

Lucas Torreira agent
Torreira agentImebaki size SMALL moja tu ,
Zikija wiki ijayo nitakujulishaHainitoshi