Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Arsenane hizi post wanazipita kama waaga maiti.
Arsenane hizi post wanazipita kama waaga maiti.
Haahaaa hawa jamaa wanasajiligi humu JF na siku za kutambulisha wachezaji pia...maana walisema wanamtambulisha beki yao jumatatu na Leo ni ijumaa bado bilabila ....walipanga kumsajili partey weekend hii ngoja tuoneWako wapi hao Aouar na Partey?
Kwan mbona unateseka ?kumbe unafatilia habari kwa u karibuHaahaaa hawa jamaa wanasajiligi humu JF na siku za kutambulisha wachezaji pia...maana walisema wanamtambulisha beki yao jumatatu na Leo ni ijumaa bado bilabila ....walipanga kumsajili partey weekend hii ngoja tuone
huu ndiyo usajili tunaoweza tuuOfficial: Mikel Arteta has brought in additional coaches to support assistant coaches Steve Round & Albert Stuivenberg. Carlos Cuesta, previously at Juventus, Andreas Georgson comes in from Brentford & Miguel Molina, previously with Atletico Madrid have joined the team. #afcView attachment 1550867
Kwan Dirisha limefungwa?huu ndiyo usajili tunaoweza tuu
Haahaaaa ishi humo kwanzaKwan mbona unateseka ?kumbe unafatilia habari kwa u karibu
Kama hatujamtangaza tatizo lipo wapi, ikiwa ni Arsenal player tayari
Tukutane Ground
Sasa umeelewa nini hapo?Haahaaaa ishi humo kwanza
Arteta: I am confident we are going to do everything we can together to achieve the targets that we have before the 6th of October. If we are not able to do that it is because we couldn’t reach that level or because somebody beat us with our planning.
Huoni unajitekenya na kucheka mwenyeweHaahaaaa ishi humo kwanza
Arteta: I am confident we are going to do everything we can together to achieve the targets that we have before the 6th of October. If we are not able to do that it is because we couldn’t reach that level or because somebody beat us with our planning.
Bado kuna jumatatu nyingi mkuuHaahaaa hawa jamaa wanasajiligi humu JF na siku za kutambulisha wachezaji pia...maana walisema wanamtambulisha beki yao jumatatu na Leo ni ijumaa bado bilabila ....walipanga kumsajili partey weekend hii ngoja tuone


mbona mnatusakama sana wajameni!!Haahaaa Hamna kitu hapo VP mbona auba hasign?Huoni unajitekenya na kucheka mwenyewe
Baada ya Oct 6 njoo hapa ,
Hahahhahhahahhahah.board ya Arsenal inampenda sana Aouar yaani kinoma
Hahahaa.. hamna lolote hapoHaahaaa hawa jamaa wanasajiligi humu JF na siku za kutambulisha wachezaji pia...maana walisema wanamtambulisha beki yao jumatatu na Leo ni ijumaa bado bilabila ....walipanga kumsajili partey weekend hii ngoja tuone