Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Hatuwezi kupaki basi,Usajili bado unaendelea, ina maana hauoni improvement under Arteta?Tuliwahi kua na timu ina Frimpong, Djourou n.k na tuliingia top four. With right tactics ya kuzitembezea kipigo timu ndogo na hizi kubwa kuzipakia basi tunaweza kumaliza hichi kipindi cha mpito bila aibu sana.
Mbona Unai alipoteza uelekeo kabisa,kila kitu kilikuwa zigzag,huyu kocha mpeni heshima yake kachukua FA cup akiwa na miezi saba tu,ukumbuke hii timu ilimshinda yule mshenzi Unai, asingeweza kufika hata robo fainali ya FA kwa mwendo ule na ndani ya Top 10 alikuwa hamalizi.

️