Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hehehe wakadai atatangazwa Jumatatu. Anyway tuvute subira. Timu yetu haina pesa
Mbona hilo dili limeshaisha ,bado kutangazwa

Halafu yupo Quarantine ,

Siku hizi naona Arsenal wamebadili utaratibu nadhan wakutangaza wachezaji ,

Hata deal la Auba ,tayari

Unakumbuka Deal la Willian ? Kuna utaratibu nadhan wamebadilisha
 
Mbona hilo dili limeshaisha ,bado kutangazwa

Halafu yupo Quarantine ,

Siku hizi naona Arsenal wamebadili utaratibu nadhan wakutangaza wachezaji ,

Hata deal la Auba ,tayari

Unakumbuka Deal la Willian ? Kuna utaratibu nadhan wamebadilisha
Arsenal walicounter hili swala la quarantine.

Ripoti ilitoka kwamba kafanya medical na atasaini J3.

Ila leo J5.
 
Arsenal walicounter hili swala la quarantine.

Ripoti ilitoka kwamba kafanya medical na atasaini J3.

Ila leo J5.
Alishasaini kweli Jumatatu, ila swala la kumtangaza ni hatua nyingine

Rejea kwa willian ,

Same to Auba already signed contract ,but kutangazwa ndio bado

Unahisi Deal la Gabriel bado?

Hapa tunasema ni 99.99%
 
Everton wanamtaka James Rodriguez na Carlo kampigia simu James kuangalia anamtoaje Madrid.
 
Game na Liva.

Sisi na Liva wote tumechukua Ngao mara 15 yeyote atakayeitwaa Jumamosi atamuacha mwenzake hatua moja na kumsogelea Man U.

Liva itachoka ila mbele huko siyo Jumamosi, Jumamosi Arsenal tuna kazi. Winning itatupa ari ya kupambana kwa msimu mzima uliobaki hivyo ni mechi muhimu kwetu.

Mechi ya mwisho kukutana nao tulishinda ila ilikua ushindi wa kinyonge cha kunyong'onyesha ni kwamba tuna kikosi kilekile kilichoshinda kinyonge wakiwa wameongezeka Elneny na Willian minus Ceballos

This means Arteta atatumia tena 3 4 3 kukabiliana na Liva. Goli la pili la Aubameyang alilowapiga Chelsea fainali ya FA msimu huu ni best description ya namna mabeki 3 wanavyobaki uchi. So this time Liva atakuja huku kadhamiria kufuta kilichotokea.

Kwanza natamani Martinez aanze na badala ya kuchezwa 3 4 3 ichezwe 3 4 1 2. 2 wawe Aubameyang na Laca, 1 awe Pepe.

Spirit ya fainali ya FA ikiwepo hiyo Jmos nina uhakika hata tukifungwa tutaridhika.

We gon win this
 
Alishasaini kweli Jumatatu, ila swala la kumtangaza ni hatua nyingine

Rejea kwa willian ,

Same to Auba already signed contract ,but kutangazwa ndio bado

Unahisi Deal la Gabriel bado?

Hapa tunasema ni 99.99%
Aaron acha kuwadanganya wenzako, fanya kazi yako kwa uwaminifu
 
Huyu Lacazette hana makali siku hz kawa kama Suarez tu akipata mpira anajikanyaga tu alafu anakata tamaa mapema tofauti na Auba japokua Auba naye kuna mda akifika golini anakua na mambo mengi ila kufunga anajua
 
Fiorentina are awaiting a positive response from Arsenal in order to conclude a deal for Lucas Torreira. [@DiMarzio via @fraporzio95]
 
FA sijui ni kwa nini hii mechi wameiweka mapema Jmosi??hatupo tayari kabisa naona kwa hii mechi but kwangu binafsi nasubiri ligi ianze mechi ya jmosi naona ni kama bonanza tu
 
Back
Top Bottom