Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Promising youngster Sam Greenwood has left Arsenal to join Leeds. £3mil deal plus potential bonuses. He rejected the opportunity to join Man Utd, despite a much higher offer, due to a clearer route to the first team. #AFC
 
Guilherme Miranda (Gabriel Magalhaes’ agent):

“Arsenal was nowhere near the best proposal money-wise. Gabriel chose Arsenal over more lucrative offers (Man Utd, Everton, Napoli), because Edu convinced us of the project. It’s 100% because of Edu Gaspar and Mikel Arteta.”
 
Guilherme Miranda (Gabriel Magalhaes’ agent):

“Arsenal was nowhere near the best proposal money-wise. Gabriel chose Arsenal over more lucrative offers (Man Utd, Everton, Napoli), because Edu convinced us of the project. It’s 100% because of Edu Gaspar and Mikel Arteta.”
 
The last time Arsenal & lfc met in the #CommunityShield...

The Gunners came out the victors
IMG_20200827_094754.jpg
 
Game na Liva.

Sisi na Liva wote tumechukua Ngao mara 15 yeyote atakayeitwaa Jumamosi atamuacha mwenzake hatua moja na kumsogelea Man U.

Liva itachoka ila mbele huko siyo Jumamosi, Jumamosi Arsenal tuna kazi. Winning itatupa ari ya kupambana kwa msimu mzima uliobaki hivyo ni mechi muhimu kwetu.

Mechi ya mwisho kukutana nao tulishinda ila ilikua ushindi wa kinyonge cha kunyong'onyesha ni kwamba tuna kikosi kilekile kilichoshinda kinyonge wakiwa wameongezeka Elneny na Willian minus Ceballos

This means Arteta atatumia tena 3 4 3 kukabiliana na Liva. Goli la pili la Aubameyang alilowapiga Chelsea fainali ya FA msimu huu ni best description ya namna mabeki 3 wanavyobaki uchi. So this time Liva atakuja huku kadhamiria kufuta kilichotokea.

Kwanza natamani Martinez aanze na badala ya kuchezwa 3 4 3 ichezwe 3 4 1 2. 2 wawe Aubameyang na Laca, 1 awe Pepe.

Spirit ya fainali ya FA ikiwepo hiyo Jmos nina uhakika hata tukifungwa tutaridhika.

We gon win this
Eti hata tukifungwa!nanikweli lazima mfungwe mtaachaje kufungwa na majogoo.
 
Arsenal insists on signing Amadou Diawara. In the last few hours the Gunners have returned to the office and are ready to make a move for the midfielder. #AFC willing to pay £27m, but an exchange with Torreira who Fiorentina are also interested in cannot be ruled out. [@CorSport]
 
Ngao ya hisani sikumbuki kwa mara ya mwisho walikutana lini namatokeo yake sikumbuki labda unikumbushe.
Ngao ya mwisho ya hisani nakumbuka tulimpiga Mourinho na Chelsea yake.... Kati ya mwaka 2015 au 2016.
 
Arsenal hatuna kikosi kipana.

Yaani middle ina Xhaka, Torreira, Ceballos na Guendouz. Kuna mmoja hapo ni majeruhi na mwingine kiwango tia maji tia maji so unabaki na 2.

Hapo no way out ni lazima utumie 4 2 2 2 au 3 4 3. Sasa ukiwa na shortage hiyo kinachofuatia? Eti unamuuza Niles na Bellerin sokoni. Kolasinac (simkubali sana kiukweli) naye sokoni.

Hua nawaambia humu kwamba tuna CB wengi mno now kama plan ni kuconvert wengine wawe fullback sawa ila tutarajie nini kipindi hiyo conversion inaendelea?

Elneny? Ni mzuri. Ana interception rate kubwa, physical, skills na fighting spirit binafsi naona abaki. Tupafanye pale katikati pawe na watu wa kutosha.

Willock, Nelson, Smith Rowe watakua kama Walcot au kama wachezaji wa kiingereza walivyo. Watakaa Arsenal kwa misimu kadhaa watashine mechi kadhaa na kuharibu nyingi zingine kisha wataenda Leeds au Crsytal Palace.

Katika game za mpira za PS 3 au 4 kuna mabeki wakikusogelea ni ama uuache mpira au utoe pasi. Liva wana Virgil, Madrid wana Ramos, Arsenal tuna Luiz lakini Luiz anaishia mi sijamuona Saliba, Gabriel wala Pablo wakicheza ila nimemuona Holding na Chambers.

Holding na Chambers ni beki roho mbaya tunaowahitaji pale. Komedi ni unaposikia hao wanauzwa pia. Mmoja ni majeruhi prone, akiuzwa unaelewa na huyo mwingine vipi?

Timu yetu ina komedi nyingi.

Ozil benchi. Sababu? Anajihusisha na waislamu wa Uighur. And yet timu yetu hupiga goti moja kujihusisha na maandamano ya Marekani. Hali ni mbaya kiasi kwamba katika Chinese Version game ya PES haijamuweka Ozil.

Huu ni upuuzi.

Kisha unasajili William wakati msimu uliopita ulikua linked na Ziyech, ambaye ana uwezo wa kuscore kama RWF wanavyotakiwa kuscore.

Tuna shida gani?

So kwa sasa tuna Mari, Saliba, Luiz, Sokratis, Holding, Chamber, Mavropanos, kuna dogo black nimemsahau jina, na anaongezwa Gabriel.

Pale katikati kwenye ubovu haswa tunafukuzia Partey huku tunasua sua na hapo tukitarajia huruma ya Babu Coutinho afanye kuconsider kuja Arsenal. Mara tunaambiwa tunamtaka Aouar. Unakumbuka tulivyohusishwa na Carasco na Ziyech? Kisha kilichotokea?

We are going through same bullshit.

Tuna Aubameyang, Lacazette mwingine kiwango chake hakijawa form mwingine umri unaenda. Tuna Martnell na Nketiah sawa lakini ulimuona Mbape kwenye UEFA final? Unafikiri chansi za Mbape angezipata Lewandowski ingekua kama yeye? Hatumhitaji mtu kama Jovic?

Man mbona tunafanya komedi.
You have spoken the reality.

Tuendelee kupeana moyo si mbaya.
 
Kuna huyu mtani wetu mmoja mshenzi huyu anasema tuendelee na usajili wetu hapa JF
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tuliwahi kua na timu ina Frimpong, Djourou n.k na tuliingia top four. With right tactics ya kuzitembezea kipigo timu ndogo na hizi kubwa kuzipakia basi tunaweza kumaliza hichi kipindi cha mpito bila aibu sana.
 
Back
Top Bottom