Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huwa hamjiulizi kwa nini matani kama haya yamezidi kwa Arsenal na siyo timu nyingine?
Screenshot_20200826-094000_1598427378371.jpg
 
hahahahahah hahahahaha hahahahah hahahahahha
Messi's contract at the Camp Nou expires in 2021, and his current release clause stands at over $800 million.
 
Na mchezaji ghali zaidi kwa kufuata release clause siyo yeye ni Benzema. 1B Euro
 
Arsenal hatuna kikosi kipana.

Yaani middle ina Xhaka, Torreira, Ceballos na Guendouz. Kuna mmoja hapo ni majeruhi na mwingine kiwango tia maji tia maji so unabaki na 2.

Hapo no way out ni lazima utumie 4 2 2 2 au 3 4 3. Sasa ukiwa na shortage hiyo kinachofuatia? Eti unamuuza Niles na Bellerin sokoni. Kolasinac (simkubali sana kiukweli) naye sokoni.

Hua nawaambia humu kwamba tuna CB wengi mno now kama plan ni kuconvert wengine wawe fullback sawa ila tutarajie nini kipindi hiyo conversion inaendelea?

Elneny? Ni mzuri. Ana interception rate kubwa, physical, skills na fighting spirit binafsi naona abaki. Tupafanye pale katikati pawe na watu wa kutosha.

Willock, Nelson, Smith Rowe watakua kama Walcot au kama wachezaji wa kiingereza walivyo. Watakaa Arsenal kwa misimu kadhaa watashine mechi kadhaa na kuharibu nyingi zingine kisha wataenda Leeds au Crsytal Palace.

Katika game za mpira za PS 3 au 4 kuna mabeki wakikusogelea ni ama uuache mpira au utoe pasi. Liva wana Virgil, Madrid wana Ramos, Arsenal tuna Luiz lakini Luiz anaishia mi sijamuona Saliba, Gabriel wala Pablo wakicheza ila nimemuona Holding na Chambers.

Holding na Chambers ni beki roho mbaya tunaowahitaji pale. Komedi ni unaposikia hao wanauzwa pia. Mmoja ni majeruhi prone, akiuzwa unaelewa na huyo mwingine vipi?

Timu yetu ina komedi nyingi.

Ozil benchi. Sababu? Anajihusisha na waislamu wa Uighur. And yet timu yetu hupiga goti moja kujihusisha na maandamano ya Marekani. Hali ni mbaya kiasi kwamba katika Chinese Version game ya PES haijamuweka Ozil.

Huu ni upuuzi.

Kisha unasajili William wakati msimu uliopita ulikua linked na Ziyech, ambaye ana uwezo wa kuscore kama RWF wanavyotakiwa kuscore.

Tuna shida gani?

So kwa sasa tuna Mari, Saliba, Luiz, Sokratis, Holding, Chamber, Mavropanos, kuna dogo black nimemsahau jina, na anaongezwa Gabriel.

Pale katikati kwenye ubovu haswa tunafukuzia Partey huku tunasua sua na hapo tukitarajia huruma ya Babu Coutinho afanye kuconsider kuja Arsenal. Mara tunaambiwa tunamtaka Aouar. Unakumbuka tulivyohusishwa na Carasco na Ziyech? Kisha kilichotokea?

We are going through same bullshit.

Tuna Aubameyang, Lacazette mwingine kiwango chake hakijawa form mwingine umri unaenda. Tuna Martnell na Nketiah sawa lakini ulimuona Mbape kwenye UEFA final? Unafikiri chansi za Mbape angezipata Lewandowski ingekua kama yeye? Hatumhitaji mtu kama Jovic?

Man mbona tunafanya komedi.
 
I dont understand, he has one year to his contract, how comes he is so expensive? I believe hakuna timu yenye ubavu wa kumnunua. PSG, Manchester Teams na Wachina mwisho wao 250m? Halafu unamnunua kiasi hicho mtu mwenye miaka 33, utapata kweli return of invested sum? siamini hata kwa merchadise ya jezi bado nina ???????????
 
Ni hatari. Labda hizo nyingine ziwe add ons kulingana na performance na trophies atakazoziingizia timu.
 
Wolves had a formal offer, below £20m, rejected by Arsenal for Ainsley Maitland-Niles yesterday. Arsenal are seeking a higher fee, with two clubs in Germany now preparing bids. [@David_Ornstein, @TheAthleticUK] #afc
 
Arsenal forward Sam Greenwood will join Leeds United today for an undisclosed fee on a three-year deal. #afc
 
Wolves have had an opening bid, believed to be £15m, for Ainsley Maitland-Niles rejected by Arsenal. Arsenal thought to want at least £20m. [@SkySportsNews]
 
Arsenal hatuna kikosi kipana.

Yaani middle ina Xhaka, Torreira, Ceballos na Guendouz. Kuna mmoja hapo ni majeruhi na mwingine kiwango tia maji tia maji so unabaki na 2.

Hapo no way out ni lazima utumie 4 2 2 2 au 3 4 3. Sasa ukiwa na shortage hiyo kinachofuatia? Eti unamuuza Niles na Bellerin sokoni. Kolasinac (simkubali sana kiukweli) naye sokoni.

Hua nawaambia humu kwamba tuna CB wengi mno now kama plan ni kuconvert wengine wawe fullback sawa ila tutarajie nini kipindi hiyo conversion inaendelea?

Elneny? Ni mzuri. Ana interception rate kubwa, physical, skills na fighting spirit binafsi naona abaki. Tupafanye pale katikati pawe na watu wa kutosha.

Willock, Nelson, Smith Rowe watakua kama Walcot au kama wachezaji wa kiingereza walivyo. Watakaa Arsenal kwa misimu kadhaa watashine mechi kadhaa na kuharibu nyingi zingine kisha wataenda Leeds au Crsytal Palace.

Katika game za mpira za PS 3 au 4 kuna mabeki wakikusogelea ni ama uuache mpira au utoe pasi. Liva wana Virgil, Madrid wana Ramos, Arsenal tuna Luiz lakini Luiz anaishia mi sijamuona Saliba, Gabriel wala Pablo wakicheza ila nimemuona Holding na Chambers.

Holding na Chambers ni beki roho mbaya tunaowahitaji pale. Komedi ni unaposikia hao wanauzwa pia. Mmoja ni majeruhi prone, akiuzwa unaelewa na huyo mwingine vipi?

Timu yetu ina komedi nyingi.

Ozil benchi. Sababu? Anajihusisha na waislamu wa Uighur. And yet timu yetu hupiga goti moja kujihusisha na maandamano ya Marekani. Hali ni mbaya kiasi kwamba katika Chinese Version game ya PES haijamuweka Ozil.

Huu ni upuuzi.

Kisha unasajili William wakati msimu uliopita ulikua linked na Ziyech, ambaye ana uwezo wa kuscore kama RWF wanavyotakiwa kuscore.

Tuna shida gani?

So kwa sasa tuna Mari, Saliba, Luiz, Sokratis, Holding, Chamber, Mavropanos, kuna dogo black nimemsahau jina, na anaongezwa Gabriel.

Pale katikati kwenye ubovu haswa tunafukuzia Partey huku tunasua sua na hapo tukitarajia huruma ya Babu Coutinho afanye kuconsider kuja Arsenal. Mara tunaambiwa tunamtaka Aouar. Unakumbuka tulivyohusishwa na Carasco na Ziyech? Kisha kilichotokea?

We are going through same bullshit.

Tuna Aubameyang, Lacazette mwingine kiwango chake hakijawa form mwingine umri unaenda. Tuna Martnell na Nketiah sawa lakini ulimuona Mbape kwenye UEFA final? Unafikiri chansi za Mbape angezipata Lewandowski ingekua kama yeye? Hatumhitaji mtu kama Jovic?

Man mbona tunafanya komedi.
Squad yetu haipo sawa hasa hapo kwa Viungo ni utopolo kabisa(sorry )foward zetu zipo vizuri sana Kipa (no problem)kwa defenders (sababu tumesajili lets wait and see)ila if we want to compete katika makombe na kufuzu champions league lazima tuwe hata na midfielders 6 wa Maana (sio hawa wa sasa tulionao) ukimtoa ceballos angalau ana uafadhali,shda kubwa ya Arsenal ni midfield
 
Arsenal reject Wolves’ bid for AMN and now Wolves are looking for another right-back. There actually might be a chance AMN is still an Arsenal player next season
 
Back
Top Bottom