Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Arsenal say it will be a mix of first-team players and academy players.
Mna hela ya kununua uyo backup??Bellerin sidhan kama ataondoka labda lije dau zuri , akiondoka Ananunuliwa Backup
Ila sion Bellerin akiuzwa japo inasemwa sana
August 28 ni kumbukizi muhimu ..tuishi humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1547732
Ivi ligi inapoanza lazima arsenal awege wa kwanza kumbe.Its that time again where Arsenal becomes the leader of the table
Latest EPL standings[emoji460]
Team P W D L GD Pts
1 Arsenal 0 0 0 0 0 0
2 Aston Villa 0 0 0 0 0 0
3 Brighton 0 0 0 0 0 0
4 Burnley 0 0 0 0 0 0
5 Chelsea 0 0 0 0 0 0
6 C Palace 0 0 0 0 0 0
7 Everton 0 0 0 0 0 0
8 Fulham 0 0 0 0 0 0
9 Leeds 0 0 0 0 0 0
10 Leicester 0 0 0 0 0 0
11 Liverpool 0 0 0 0 0 0
12 Man City 0 0 0 0 0 0
13 Man Utd 0 0 0 0 0 0
14 Newcastle 0 0 0 0 0 0
15 Sheff Utd 0 0 0 0 0 0
16 Southampton 0 0 0 0 0 0
17 Tottenham 0 0 0 0 0 0
18 West Brom 0 0 0 0 0 0
19 West Ham 0 0 0 0 0 0
20 Wolves 0 0 0 0 0
Ivi ligi inapoanza lazima arsenal awege wa kwanza kumbe.
Hahaha kumbe ndi maana wanasumbua majukwaa ya wanaume[emoji23][emoji23]eeh ukiachana na ile rekodi ya unbiten hii pia ni rekodi yao nyingine.
Hahaha kumbe ndi maana wanasumbua majukwaa ya wanaume
Hawana tofauti na amberuri alivyopata bwana ..kila mtu alijua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuwatakie kumbukizi njema hizi nyumbu...
Tunatamba kwa sababu tuna kombe, ninyi mmeambulia nini msimu huu?Mimi nadhani wanatamba kwa sababu wanaongoza ligi. Tuwaache tu.[emoji23]