Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii timu inatofauti gani na yanga
Kwa sababu binadamu tumeumbwa wasahaulifu, naomba niwakumbushe swala hili
IMG-20200817-WA0023.jpg
 
kumuuza Bellerin ni wazo zuri kweli? Tena yeye na Maitland-Niles? Cedric peke yake atatosha kweli? Au Mertesacher ana madini kule academy anataka kuwapandisha first team?
 
kumuuza Bellerin ni wazo zuri kweli? Tena yeye na Maitland-Niles? Cedric peke yake atatosha kweli? Au Mertesacher ana madini kule academy anataka kuwapandisha first team?
Bellerin sidhan kama ataondoka labda lije dau zuri , akiondoka Ananunuliwa Backup

Ila sion Bellerin akiuzwa japo inasemwa sana
 
Sokratis is a target for Napoli
Holding to Leeds developments expected once they give up on Ben White
Chambers wanted by Fulham amongst others
Mustafi enquiries from 3 clubs
Maitland-Niles close to Wolves

A lot of defensive outgoings potentially on the horizon.
 
Kulingana na @ SamJDean,

Saliba alifatiliwa na Man Utd mnamo Januari 2019. Alifurahishwa na hali hiyo,lakini alilenga juu ya Arsenal kutokana na muda gani wamemfuatilia ambao walianza kumfatilia zamani .

Saliba toka akiwa mtoto ni mshabiki wa #Arsenal , Anasema kule Paris Watoto wengi wa Kifaransa ni mashabiki zaidi wa Arsenal kuliko PSG ..aliongeza Saliba
IMG_20200824_131451.jpg
IMG_20200823_063502.jpg
 
kila kitu duniani kina uzuri na ubaya wake. Yes we are selling players, lakini mbeleni naiona arsenal ya Wenger, ambayo ikifika December timu ilikuwa inayumba sana kama vile imepitiwa na tetemeko. hii ilikuwa ni kwa sababu kipindi hicho tulikuwa tunajikuta na majeruhi wengi wa 1st 11. Hatuna kikosi kipana chenye kuleta ushindani. Sasa tunakoelekea tutajikuta anatoka Aubamayeng anaingia Willock. ANM ndio alikuwa anaanza kuja kwenye form, pengine bila yeye fainali ya FA kombe lingekuwa Stamford Bridge.Torreira nitakukumbuka, sijuhi ni kwanini Joe Willock hajawekwa kwenye orodha ya wanaoondoka? Kwangu mimi Nketiah na Nelson still wanaonyesha dalili za ku-improve
 
Leo tunapiga game dhidi ya MK Dons. Game itakuwa live kupitia YouTube channel ya MK Dons


Arsenal pia imethibitisha kuwa watakaocheza ni mchangangiko wa first team na academy


#MKDons will face FA Cup winners Arsenal tonight in a behind-closed-doors pre-season friendly - and you can watch it LIVE on YouTube!

Tune in from 6pm to see Russell Martin’s men in action against the Premier League giants - link to follow!

https://t.co/vRKt8dyJYm
 
Arsenal knock back Monaco approach for Emile Smith Rowe with Mikel Arteta keen to work with 20-year-old attacking midfielder this season. [@MailSport]
 
Atletico Madrid’s Thomas Partey and Lyon’s Houssem Aouar are among their targets having already brought in Willian on a free and with Gabriel Magalhaes also on the verge of joining after completing a medical on Monday. [@MailSport @AdrianJKajumba]
 
Back
Top Bottom