Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Pumbavu sana weweAsernyoo utopolo fc
Vipi? Bayern beki ipo au haipo?Bayern Munich hana beki ya kuwazuia front three wa PSG
Enhe lete story.My brother
Haimaanishi statistics za RB LEIPGZ vs PSG ndo ikawa factor ya PSG kufungwa na BEYERN,Always mpira haupo hivo,kila timu inacheza kutokana na quality ya opponent pia vilevile timu hucheza kutokana na stage ya tournament.. PSG final stage ndo Mara yao ya kwanza..so I hope watapambana
Unfortunately enough am not a gambler ila tayari buku2 tayar ushaliwa
Remember my words kwamba Neymar jr atawabeba PSG
Jana Neymar Mbappe Dimaria umeona walichokifanya Mtu wangu???Vipi? Bayern beki ipo au haipo?
arsenal tumchukue Neymar atatufaa kwa matumizi ya baadaeJana Neymar Mbappe Dimaria umeona walichokifanya Mtu wangu???
HahahahaahahahahahahAaron Arsenal ,timu yetu imeshaanza training?naona kimya kimetanda na Liverpool wao wameanza hadi friendly match wamecheza, ni kama tarehe 29 tumeisahau tunawaza usajili pekee
Hahahahaahahahahahah
Mwanangu unamuuliza aron kama yeye ndio arteta
Angalia timu ikija ikafanya vibaya usije ukaja kuanza kumlaumu Aron hapa
Tunaanza Leo, wale waliocheza Fainal FA wanaanza Leo ,Aaron Arsenal ,timu yetu imeshaanza training?naona kimya kimetanda na Liverpool wao wameanza hadi friendly match wamecheza, ni kama tarehe 29 tumeisahau tunawaza usajili pekee
Aaron ni mtu pekee mwenye taarifa nyeti za ndani katika hili jukwaa
Arteta Ameonesha anaipeleka wapi klabuHahahahaahahahahahah
Mwanangu unamuuliza aron kama yeye ndio arteta
Angalia timu ikija ikafanya vibaya usije ukaja kuanza kumlaumu Aron hapa