Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii timu imezidi kupata confidence. dah kile kiwago tulichocheza naho kwa chelsea kiko wapi?
 
Na kichapo Juu.....Trophyless season.....again..........

Inawezekana kwa mwendo huu bora february iko mbali wakija barcelona wanatuchapa nyumbani na ugeninini kwa kiwango hiki . labda tutakuwa tumegain momentum. lakini hata hili kombe si home na away? Not good sign thoug kwa asernal
 
Ingawa goli lile ni offside lakini hii timu wanadesver hako ka goli aseno hatujafanya jitihada kushinda hii mechi

Sio offside mkuu goli lao safi kabisa.wakati mpira unapigwa jamaa alikuwa level na mabeki wetu kawazidi tu mbio tumekamatwa pale.
 
Msijali sana wanakuja emirates wakuu.kuna wachezaji wetu wazembe wazembe.Sema wakiamua kujaa pale kwenye box na sisi kama kawaida hatuna mbinu nyingine zaidi ya kulazimisha kutoleana pasi umo umo ndani ya box ngoma yetu itakuwa ngumu.

kuweka heshima wenger anaweza kumtumia Nasri.
 
....dang! ...yaaani hawa hawa Ipswich waliopigwa saba majuzi na Chelsea 'mbofu mbofu' leo wametutoa kamasi?
Ama kila shetani na mbuyu wake, Paul Jewell kwa mara nyingine tena anaweza kututoa nishai...

In 2006, Arsenal played Jewell's newly-promoted and high-flying Wigan side in the semis of the same competition, losing the first leg away from home 1-0.

...Pamoja we stand wakuu!
 
lol..hata kakikombe ka ghahawa nako kanaponyoka..ngojea nikasome koments za wapenzi wa Spurs ..
 
lol..hata kakikombe ka ghahawa nako kanaponyoka..ngojea nikasome koments za wapenzi wa Spurs ..

No team to support, no right to comment. Nenda kwenye timu yako ya vichochoroni. Tunawasubiri Emirates tuwatoe nishai we knew its a two leg competition at this juncture so no worries at all.
 
At the end of the day kombe la mabati ambalo tuliwabakishia mmepokwa?!, kweli nyie Vilaza XXL. Safari hii mtaisoma namba tena kama msimu jana na juzi.
 
No team to support, no right to comment. Nenda kwenye timu yako ya vichochoroni. Tunawasubiri Emirates tuwatoe nishai we knew its a two leg competition at this juncture so no worries at all.

Hivi mnacheza na Barca lini vile? maana naona wao spidi yao ni ya 5-0 ad infinitum. Kwa makadirio hayo andaeni kapu kwa ajili ya magoli 10.
 
At the end of the day kombe la mabati ambalo tuliwabakishia mmepokwa?!, kweli nyie Vilaza XXL. Safari hii mtaisoma namba tena kama msimu jana na juzi.

We are still in it. Wewe si ulibandikwa baada ya kulitamani kombe na West Ham 4 nil khe khe kheeeeeee

Hivi mnacheza na Barca lini vile? maana naona wao spidi yao ni ya 5-0 ad infinitum. Kwa makadirio hayo andaeni kapu kwa ajili ya magoli 10.

Kama malaya vile, haishi kujipitisha lakini Gunners hawana mpango naye khe khe kheeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom