Arsenal (The Gunners) | Special Thread

....daaaahhh, hiii ni soooo!
kweli kuna watu wastaarabu uwanjani, mimi nilivyo na roho ndogo
tayari ningeshavamia uwanja nikamtwange kichwa Arshavin!...

Dakika ya 87...
Penalti? No offside!...aaahhh..
 
Dakika ya 89, ...penalti

Fabregas ametufuta machozi....pheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeewwwww!
 

......4 added mins,....walcott anawatesa kule wingi ya kulia si kidogo.
 
.....magoli mengi alofunga Bendtner ni kwa kichwa, lakini leo kiila mpira wa kichwa kapaisha
aarrgghhh,... 300miles mpaka Leeds mbali sana kwa play-offs na tunazidisha tu match congestions..
Game over.

...nilikuwepo.

 
.....magoli mengi alofunga Bendtner ni kwa kichwa, lakini leo kiila mpira wa kichwa kapaisha
aarrgghhh,... 300miles mpaka Leeds mbali sana kwa play-offs na tunazidisha tu match congestions..
Game over.

...nilikuwepo.

Mkuu pole sana,mie sikupata nafasi ya kuangalia mpira nilimeza dawa za mafua nikazima kabisa naamka naona game limeisha kama nusu saaa iliopita.


naelewa kilio chako hawa wakina bendtner wanaboa sana mda umefika waondoke hili waletwe wengine wenye uchu wa magoli na nafasi ya kucheza.
Hawa watu wanaopewa nafasi kwenye mechi kama hizi wanatakiwa wa step up na kutumia nafasi zao vizuri .
 
Dakika ya 89, ...penalti

Fabregas ametufuta machozi....pheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeewwwww!

Nakwambia! miye nilishakata tamaa na kusema weekend imeanza vibaya...nilikuwa nafanya vijishughulishughuli hapa home wakati magoli ni 0-0 basi nakuja kuangalia baada ya dkk chache nakuta tumeshachapwa basi ikabidi niache shughuli zote kuangalia na kuwaona jamaa walivyoanza kubutua butua ili tu kuhakikisha hatupati goli. Tunaweza kufanya vizuri katika mchezo ujao na hatimaye kuendelea kuwemo kwenye FA Cup.
 

...duuuh, mkuu pole kwa flu! mwenyewe nilimeza ka kidonge kamoja tu ka anti allergy (Cetirizine hydrochloride) kukomesha mafua, huo usingizi wake kama sio alarm ningeikosa mechi!

Haya bana, ngoja nikatafute chai ya ndimu sasa, kisha tangawizi... arrrghhh!

 
Asante sana mkuu,pole na wewe.kosa langu ndio hilo kuto set alarm.
 
Tunaweza kufanya vizuri katika mchezo ujao na hatimaye kuendelea kuwemo kwenye FA Cup.
wanaotuangusha wale wachezaji wanaopewa nafasi sijui Wenger awatafutie Fabregas wao kwenye hili dirisha dogo hili tufike mbali kwenye fa na carling cup au sijui afanye nini.timu haina creativity kabisa kati na mbele hamna mtu mwenye uwezo wa ku-hold mpira.
 
Once a cheater, always a cheater.

 
...dah, nafuu bana, maana jamaa ange burn out!
Ni wakati wa Eboue sasa kujidai nae kwenye namba yake ya zamani, ha ha..
Nice move AW, bora Sagna apumzike kidogo tayari kwa Champions League.
Yuko na Red card aliipata pale Arsenal walipowafunga Partizan Belgrade 3-1. Na hiyo ndo ilikuwa Red Card yake ya kwanza tangu ajiunge na Arsenal,atakosa Mechi zote za Champions League against Barcelona.
 
Hheheh ngoja tuendeleze unazi, Arsenal reserve wamekula 10 - 1 dhidi ya Aston Villa reserve...Otherwise hamjambo hapa?
 
Hheheh ngoja tuendeleze unazi, Arsenal reserve wamekula 10 - 1 dhidi ya Aston Villa reserve...Otherwise hamjambo hapa?

Hhahahahahaha!! Hii hawawezi kuweka hapa, lakini ingekuwa kinyume ungeona mabango ya Wachwa1. Anyway, the furure is bright.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…