Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,692
Two clubs from the Premier League and one from the Bundesliga are understood to be preparing bids for Arsenal’s Ainsley Maitland-Niles. [@SkySportsNews]
Asante ryana fan ,umekuwa muungwana siku zote ,
Bado tunajenga timu , tunatarajia kutoa upinzani , bado hatujapata timu ya kugombea EPL ,
Lengo la kwanza ni kurudi UCL na kupambania mataji mengine
Itatuchukua misimu had miwili kugombea EPL
hapo mlipofikia mmejitahid sana, Tukutane msimu ujao , tukiwa na kocha mpya kabisaMkuu kwenye soker hatuhitaji ujuaji. Naamini msimu ujao hautakuja tena na zile tambo zako za chelsea kumaliza ligi nafasi ya 10.
hapo mlipofikia mmejitahid sana, Tukutane msimu ujao , tukiwa na kocha mpya kabisa
Sancho jadonNyie mmesajiri nan
Kama unajua kusoma vizuri angalia hapokuhusu sancho. Hakuna tena deal na utd waangalie namna nyingine ya kujipanga.Sancho jadon
Good jumatano anatangazwa bila shaka then Ijumaa tunamaluza suala la mkataba na aubaWillian has undergone his Arsenal medical. [@JackRosser_]
Tushawazoea hao walisemaga hivihivi kwa auba na dembeleKama unajua kusoma vizuri angalia hapokuhusu sancho. Hakuna tena deal na utd waangalie namna nyingine ya kujipanga.
The deal is almost end.View attachment 1533203View attachment 1533204
Tambo muhimu , msimu ujao mjipange ,sajirini bekiKwakweli. Ila uache zile tambo zako uchwara sasa. Soker ni mbinu mkuu
Wa buza kwa mpalange?Sancho jadon
Quarter final starting XIMbona hujaonekana tulipo chukua FA?. Acha shobo kwenye majukwaa ya watu.
Tambo muhimu , msimu ujao mjipange ,sajirini beki
Mbinu ndio zimeletaKwakweli. Ila uache zile tambo zako uchwara sasa. Soker ni mbinu mkuu