Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dogo yupo vizuri sana
Mimi nikimzungumzia Matteo Guendouzi humu naonekana kama nina udugu nae. But one thing for sure, nina uoni wa mbali sana kuhusu players.

Serge Gnabry wakati anaondoka nilijua tumepoteza lulu. Sasa ndio itakavyokuwa kwa Guendouzi.

Discipline issue?? WTF!!!!!! Tunataka watu wa aina ya Guendouzi, wachezaji legelege si ndio waliotupigisha 8 kwa United?? Yaani tumewasahau wababe wa vita kina Vieira, keown na Parlour???

Subirini mtakuja sema
 
Mkuu dino kashasepa kwa mkopo
 
Sijapenda kabisa hii ratiba na inaweza kuja kutucost kwa kupoteza players na hata kwa timu zingine mfano tarehe 29 August tuna big match ukizingatia tarehe 1 tumecheza Final mapumziko ni two weeks only
 
Two weeks? Mbona zinatosha sana
 
Guendoz ana ugumu gani we jamaa, labda ugumu wa maneno....
Mtoto laini sana yule akipewa mwili tu anatoka kwenye njia,
Kwa Gnabry kweli lakini Gue hapana, angeondoka Gabby ningesema kweli tumepoteza mtu mgumu sio huyu
 
Kwa sababu tunamchukulia poa Guendouzi???
Hahaha Chief ujue nilichosema juu ya stamina, control na speed bado kwangu vinamatter na nafikiri dunia nzima vinamatter so kwa player kama Guendouzi wanajua ni lazima awalie muda wa kukomaa kwanza so kwa hela nyingi hivyo inakua ngumu kutoa.
 
Guendoz ana ugumu gani we jamaa, labda ugumu wa maneno....
Mtoto laini sana yule akipewa mwili tu anatoka kwenye njia,
Kwa Gnabry kweli lakini Gue hapana, angeondoka Gabby ningesema kweli tumepoteza mtu mgumu sio huyu
Tupo hapa.

Haya ndio maneno yenu
 
Kimsingi auba apewe hiyo 250k anayotaka then tumchukue na partey akichafue pale Kati na Xhaka afu tumpe parmanent contract Dani cebaloss"the majestic" huku tukisikilizia deal la countinho
 
Kimsingi auba apewe hiyo 250k anayotaka then tumchukue na partey akichafue pale Kati na Xhaka afu tumpe parmanent contract Dani cebaloss"the majestic" huku tukisikilizia deal la countinho
Permanent contract kwa Dani inakua ngumu Madrid kuiruhusu kwakua wao wenyewe Kroos na Modric umri ndiyo unawaacha. Rodrygo siyo mtamu kihiiiivyo kwahiyo kumuachia moja kwa moja hata kama we ndiyo ungekua Madrid naamini usingekubali.

Ukizingatia Dani anaonyesha kiwango kizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…