toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,912
- 12,371
Kuna jamaa aitwa Fabrizio Romano.
Ni mwandishi wa habari za michezo hususan za usajili.
Mwingine ni Bruno Vicari wa Brazil ambae huripoti ESPN
Hawa huwa nawaona wako karibu na source zangu za uhakika.
(4-3-3)
-MARTINEZ
-BELLE -SALIBA -LUIZ -TIERNEY
-CEBALLOS -PARTEY -XHAKA
-WILLIAN -AUBA - COUTINHO
SUB:
-Leno
-Pepe
-Lacazette
-Holding
-P. Mari
-Mustafi
-Maitland Niles
-Cedric
-Torreira
-Saka
Hivi kikosi kama hiki huyo mpinzani anatokea wapi?!
Yani hapo unaangalia mpira huku pembeni unashushia na kinywaji kabisa!
Ngoja niangalie David Ornatein kasemaje sababu akisema huwa inakuwa 95% kweli
Mikhtaryan tayari alishaununua mkataba wake ,sio mchezaji tena wa ArsenalPia wachezaji wafuatao wanatakiwa kuuzwa na Arsenal ili kuongeza fedha za kumaliza usajili wa Thomas Patey na Phillipe Coutinho, kwani Willian hana ada ya usajili.
Saed Kolasinac- Kuwepo kwa Bukayo Saka, Kieran Tierney na Maitland Niles kumemuweka Kolasinas kwenye wakati mgumu ingawa hutumiwa kwenye mechi muhimu pale inapohitaika kufunfa duka.
Kwa mshahara wake wa pauni 100,000 kwa wiki hakuna timu inaweza kumudu hivyo ataendelea kuwa mchezaji wa akiba.
Matteo Guendouzi- Arsenal walitaka kumuweka Guendouzi kwenye usajili wa Coutinho lakini Barcelona wamekataa. Hata hivyo PSG nao wameonyesha interest hivyo wanangojewa kuweka ofa.
Sokratis - Tayari yupo William Saliba
Lucas Torreira- Yupo nyuma ya Ceballos na Xhaka hivyo anataka kurudi Italy lakini kwa ofa ya maana Arsenal watakuwa tayari kusikiliza.
Mohamed Elneny - Anachezea timu ya besiktas kwa mkopo lakini timu hiyo kwa sasa ina matatizo ya kifedha. Arsenal itasikiliza ofa kutoka timu za Trabzonspor na Olympiacos.
Henrikh Mkhitaryan - Huyu analipwa 200,000 ka wiki na Arsenal akiwa Roma na atamalizia mkataba wake akiwa Roma.
Mesut Ozil- hakuna timu inamtaka Ozil kutokana na mshahara wake mkubwa na Arsenal wanafanya kila wawezalo ili aondoke ikiwemo mbinu ya kutompanga kwenye timu.
Lakini Ozil anamaliza mkataba wake mwakani.
Robert Holding
Calum Chambers- Fulham wameonyesha nia ya kutaka kumsajili.
Diego Carlos and Gabriel are Arsenal’s top priorities at centre-back. Malang Sarr is also on the radar as a free agent, but he has significant interest from Italy and Germany.
At least one top drawer centre-back will join the club this summer. #AFC
Yah ,maana dayot kaongeza mkataba kule LeipzigDiego Carlos ni chaguo la Arteta mwenyewe.
Safi sana.
Leno ushamnyang'anya namba(4-3-3)
-MARTINEZ
-BELLE -SALIBA -LUIZ -TIERNEY
-CEBALLOS -PARTEY -XHAKA
-WILLIAN -AUBA - COUTINHO
SUB:
-Leno
-Pepe
-Lacazette
-Holding
-P. Mari
-Mustafi
-Maitland Niles
-Cedric
-Torreira
-Saka
Hivi kikosi kama hiki huyo mpinzani anatokea wapi?!
Yani hapo unaangalia mpira huku pembeni unashushia na kinywaji kabisa!
Kabisa kabisa, Coutinho anakuwa anacheza juu kidogo ya Xhaka na Partey..Leno ushamnyang'anya namba
Mimi napenda mbele waanze PEPE AUBA WILLIAN
Hapa utapata pace ya uhakika ,
Nyuma yao wawekee Coutinho , xhaka na Partey
Kazi imeisha
Huku wilian kati auba kule pepe nyuma ya auba cotinhoWillian closer to Chelsea exit after rejecting latest offer of two-year deal. Arsenal hope to sign the Brazil international. [@guardian]
Mourinho on Chelsea vs Arsenal:
Yes what where you thinking before? I saw it coming. Emirates return to Emirates having arsenal in FA Cup final if Emirates is the sponsor. Then forget about the Cup..
Hapa vile vitoto vikisia hii matumbo motoAubameyang anatarajiwa kupata zaidi ya pauni 300,000 kwa wiki pamoja na bonasi katika mkataba wake mpya uliopendekezwa.
Arsenal pia wapo tayari kumuuza Lacazette kwa vilabu vya Uhispania au Italia.
Pia Willian atapewa mkataba wa miaka mitatu, na Arsenal wana nia ya kumsaini Coutinho kwa mkopo.
the Times
David Ornstein ni mmoja wa source zetu za uhakika.
Naona anapambana sana kijana Aaron Arsenal na chama naona linaanza kurudi kwenye chat... Tuombeane uzima mkuu tuko pamoja sanaDuh! Sizinga kiaje upo?
Mimi nipo kwema tu mkuu maisha yanaendelea.
Naona kazi tumemwachia Aaron na kwa kweli aiweza sana.
David Ornstein (@David_Ornstein) Tweeted:David Ornstein ni mmoja wa source zetu za uhakika.