Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyie takataka leo msipokalia goli 4 mshukuruni Sana mungu
 
COYG

IN ARTETA WE TRUST
IMG_20200718_185053.jpg
IMG_20200718_185051.jpg
 
Villarreal confirm departure of Santi Cazorla.

The former #arsenal midfielder will be leaving the Spanish side at the end of the 2019/20 season. #afc
 
Dimba liko tayari

Arsenal vsManCity

3.45 usiku
wembley stadium

Nusu Fainali ya #EmiratesFACup
IMG_20200718_183015.jpg
 
M A T C H D A Y

-Mara ya mwisho Arsenal kumfunga Manchester City ilikua mwaka 2017 katika hatua kama hii ya Nusu Fainali ya Kombe la FA Cup.

-Mikel Artata amelitwaa Kombe hili la FA mara mbili akiwa kama mchezaji tena Captain wa Arsenal, Hivyo anahitaji kuendeleza rekodi yake katika kombe hili.

Tangu awe kocha wa Arsenal Mikel amefanikiwa kushinda baadhi ya Big Match ikiwemo Chelsea, Manchester United na Liverpool ni jambo kubwa sana kwake ikizingatiwa kocha aliepita alikua anafeli kwenye mechi kubwa.

FB_IMG_1595087991125.jpg
 
View attachment 1510377
Hapo kwa Chelsea ndo ulipokosea. Arteta hajamfunga bado Chelsea.
 
For several days, the vice-champion of Spain has been working on this hypothesis. The Catalan club and Arsenal have been discussing in concrete terms an exchange between Mattéo Guendouzi and Philippe Coutinho for the past few days. [@footmercato]

Arsenal had established contacts with its advisers for several months. Back from Bayern Munich on loan, Coutinho wants to return to the Premier League and Guendouzi has been long appreciated by Catalan leaders.

The two clubs continued to discuss the deal in the last hours in order to advance on the modalities of this crossover. But, for the moment, Mattéo Guendouzi has not yet decided on his future destination.
 
Arsenal: Martinez; Mustafi, Luiz, Tierney; Bellerin, Ceballos, Xhaka, Maitland-Niles; Pepe, Lacazette, Aubameyang.
IMG-20200718-WA0040.jpg
 
Judging by the warm-up, Arsenal are lining up 4-3-3, with AMN on the left of the midfield three.

Charles Watt
 
Back
Top Bottom