Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
Hivi bado mechi inaendelea kujadiliwa kana kwamba Arsenal imeshindwa fainali ya world cup....wapi yule deluded gooner Wanja Mmoja? lol..
Btw, jitahidini kidogo mchukue Carling Cup, top 4 mwaka huu mnaeza kuisikia kwene bomba maana City na Spurs are looking sharper and more of finished goods, than your team of babies stuck in men bodies. Of course City if they improve in scoring goals and keep the confidence they can run away with it this year.
* ni maoni tu *
Ligi imebadilika sana hivi sasa..it is no longer about history.top 4 is guranteed under Wenger.
Hivi bado mechi inaendelea kujadiliwa kana kwamba Arsenal imeshindwa fainali ya world cup....wapi yule deluded gooner Wanja Mmoja? lol..
Btw, jitahidini kidogo mchukue Carling Cup, top 4 mwaka huu mnaeza kuisikia kwene bomba maana City na Spurs are looking sharper and more of finished goods, than your team of babies stuck in men bodies. Of course City if they improve in scoring goals and keep the confidence they can run away with it this year.
* ni maoni tu *
...kiukweli, mwenendo wetu msimu huu haufurahishi kiviiiile!
anyway, excuse ya less than 48-hours break na team reshuffling inakubalika. Tutange lijalo... :disapointed:
Haya vijana, next time muwe na adabu, na tabia ya kutukana mamba wakati mto NILE hamjavuka yatawatokea puani.
Salaamu kwa mjomba Wacha1.....mkalale sasa, acheni kulialia.
Nyumba hii leo tena vipi hebu nisomeeni matokeo sina miwani..naona mnatiana vidole machoni kama kawa.lol
Am so furious at AW...he is very unrealistic and unpractical sometimes and logically Wigan deserve this draw. You can't make 8 changes this isn't an FA cup....can't understand AW sometimes this is frustrating.
Hivi nyie, bila ROTATION mnadhan hao kina NASRI ni marobot wa kucheza dakika zoote mechi zote?, kama hamjui tht's wth costing Chelski now, hawana quality players wa kuziba mapengo ya kina Drogba na wenzao ambao wako off form, so its like Ancelloti hana choice nje ya walewale pensioners wake.
Tukiacha ushabiki, i have tht respect kwa Babu wangu SAF, atakupangia kikoc hapa cha wiki hii tofauti kbsa na cha last week na kikubwa KINA DELIVER....asa nyie kama wale wachezaji wenu wa buku mbilimbili kazi yao ni kucheza hatua ya tano ya Carling Cup huku EPL AW anawaweka benchi hadi pale akizidiwa, basi mwaka huu, EPL, CL na FA mtaisikia bombani. Squad depth (wth quality players) na rotation (kama yetu, sio ya mwehu Benitez), ndo road to success.
Usiku mwema watani.:whoo::whoo::whoo:
Mkuu mbona hivyo nyie mbona hamkushinda mechi yenu kule St. Andrews? Wacha ngebe?
Nawe hata hujulikana unatokea wapi tuambie mafanikio ya timu yako basi? Au unashabikia timu ya vichochoroni?
Uliangalia mpira au ni shabiki wa kusimuliwa? Kuna wachezaji 24 ambao unaruhusiwa kusajiliwa katika msimu sasa ulitaka wacheze wapi? Kwa mechi ya jana Arsenal bila mazingaombwe ya refa walikuwa washinde tafuta clips uangalie changes za wachezaji siyo ishu kivile unavyotaka tuamini.
Sometimes huwa umegubikwa kwenye ushabiki lakini ukiamua ndio hivyo tena .... ...
Kama kawaida yako Mzee wa kulialia mnaonewa,nahisi huwa unaangalia game za PS2
Washabiki wenzako wa Gunners hawakufurahishwa na Wenger kubadilisha kikosi lakini hakuna hata mmoja uliyempinga ,tukipinga sisi unakuja kwa jazba refa kawabeba
Maneno mengi kama umepewa peremende, if you wanna me I'm available through my PM. Arsenal ngoma kubwa tunaweza kubadili wachezaji na kushinda kama kawa shukuruni mnatumia marefa kuwasaidia. Utatuchukia sana mwaka huu we are here to stay.
Ati maoni? Who wants your biased opinion!
Mpira wewe umeuona au wa kusimuliwa JF? haya tupe basi uamuzi wako .....
Niambie tofauti ya penalty waliyopewa Spurs na ya jana walionyimwa Arsenal?
Nikisomaga posts za deluded gooner brigade huwa nabaki kucheka mwenyewe..ati 'in Mr. Bean we Trust'..kwi kwi kwi
Lakini Mr. Bean kubadili wachezaji 8 alijitakia yeye mwenyewe..mbona vibabu akina Drogba, Lamps, Terry et al wamekipiga dakika 180 ktk masaa hayohayo? Deluded brigade led deluded comedian, aliwadharau Wigan wakati ni mwaka huu tu mapema waliwachapa 3-2.
BTW, yule ntoto Nzogbia alianza kumkimbiza Ebue tangia filimbi inapigwa, angebaki uwanajani yule ntoto kipigo kingine cha 3-2 kilikuwa njiani. lol
Kila timu inabebwa inategemea jinsi unavyotumia hiyo nafasi,hiki ni kipindi kigumu sana next game unaenda St Andrews then uwanja wa ugenini (Emirates ) dhidi ya Man City
Kuhusu penati ya Spurs na jana Arsenal -two wrong dont make it rightWacha ngebe umeulizwa twambie timu yako inafanya nini chacha njomba wacha kujishaua kama bibi? Khe khe kheeeeeeeeeeee
Mkuu nimekuuliza maswali specific naona ukweli unao lakini unapiga kona , kama timu zote zinabebwa niambie sisi tumebebwa lini? Kama unakumbuka St. Andrews D. York alipewa Live na mtangazaji jinsi mnavyobebwa mbona hutaki kukubali ukweli? Eleza tofauti ya penalty ya Spurs na ya jana kwa Wigan? Mkuu Gunners ngoma nzito ndicho kinachowatia hofu .... .....
Wacha kusimuliwa kabumbu ione LIVE then njoo hapa na realiy analysis.
Kuhusu penati ya Spurs na jana Arsenal -two wrong dont make it right
Kadi nyekundu ya Joe Cole-Liverpool
Kadi nyekundu ya Boyata-Man City
Fabgregas alinawa mpira kama jamaa wa Wigan but hawakupewa penati
Chamakh amedive penati 2 ambazo hazistahili
Sijawahi kuigopa Arsenal hata kidogo kwani tumewahi kuwafunga goli 6,4,3,2
Which two wrongs? These are the same referees who operates with same rules unless its your team then its right. You drew at St. Andrews same as us its not that we lost a match, (i.e lost two points but the difference is that the referee favoured Wigan) I'm just pointing out to you that there isn't any justice in so many times when your team is involved but you turn a blind eye when its on our side.
Kuwahi kutufunga sio tatizo kwani Arsenal hajawahi kuwafunga? Take your pills mate!
...halafu na English Media wanatuchukia aisee, si magazeti ya Sun, Daily Mail, Metro, hata BBC na SKY News nao wamo! Juzi tumempa Chelsea Kichapo wakaufyata kimyaaa, Draw ya jana wameikomalia eti Arsenal managed a draw with 'ten-man' Wigan!
duhhh, ...Wapenzi wa Spurs na Chelsea wamejaa kila kona aisee, duhh!
In Wenger-Ball We Trust:whoo:Nikisomaga posts za deluded gooner brigade huwa nabaki kucheka mwenyewe..ati 'in Mr. Bean we Trust'..kwi kwi kwi
Lakini Mr. Bean kubadili wachezaji 8 alijitakia yeye mwenyewe..mbona vibabu akina Drogba, Lamps, Terry et al wamekipiga dakika 180 ktk masaa hayohayo? Deluded brigade led deluded comedian, aliwadharau Wigan wakati ni mwaka huu tu mapema waliwachapa 3-2.
BTW, yule ntoto Nzogbia alianza kumkimbiza Ebue tangia filimbi inapigwa, angebaki uwanajani yule ntoto kipigo kingine cha 3-2 kilikuwa njiani. lol
Asa anko Wacha tutetee ma sisi basi, kuwa, Bowyer jana kabla ya kusawazisha lile goli dhidi yetu (Birmingham), alikuwa amenawa mpira kwa makusudi, apo la OFFSIDE lichunie tu kwa sasa. Au ndo mambo yaleyale ya DOUBLE STANDARD?
Duh! ila nyie watu mnajua KULALAMIKA sijapata ona. Kazi ipo....
BTW Lini tunakuja Emirata kuchukua point zetu TATU za duru la pili?:whoo::redfaces::teeth:
hata mimi kwakweli nakatishwa tamaa sana na timu yetu kukosa consistency angalau kushinda mechi kumi mfululizo!
...kiukweli, mwenendo wetu msimu huu haufurahishi kiviiiile!
anyway, excuse ya less than 48-hours break na team reshuffling inakubalika. Tutange lijalo... :disapointed:
...halafu na English Media wanatuchukia aisee, si magazeti ya Sun, Daily Mail, Metro, hata BBC na SKY News nao wamo! Juzi tumempa Chelsea Kichapo wakaufyata kimyaaa, Draw ya jana wameikomalia eti Arsenal managed a draw with 'ten-man' Wigan!
duhhh, ...Wapenzi wa Spurs na Chelsea wamejaa kila kona aisee, duhh!
In Wenger-Ball We Trust:whoo: