computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii timu inabidi ibadilishwe kwa kiasi kikubwa sana kuna baadhi ya wachezaji wakiongezeka basi tutaweza kushindana na wakubwa wenzetuHii mibosi yetu inaweza ikarelax ngoja tushinde na hizi gemu ndogo ndogo zilizobaki kwa idadi kubwa ya magoli uone.Wanaweza kufikiri hapo tushakuwa bora kuliko Liverpool.