B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,406
Arsenal wamesema msimu ujao kombe lao
No mzee,im sure boss anamwaga mzigo this round,wajichanganye wenyewe tu kutuletea flopsHii mibosi yetu inaweza ikarelax ngoja tushinde na hizi gemu ndogo ndogo zilizobaki kwa idadi kubwa ya magoli uone.Wanaweza kufikiri hapo tushakuwa bora kuliko Liverpool.
Hector yule ukitupia beki nzuri za kati anarudi kwenye ubora wake,yule tusijejichanganya kuuza, maji tutaita mma km kwa Gnabry.Watu wanaposema tunahitaji beki ni kwa maana kuwa hawajaridhika na viwango vya waliokuwepo,
Huwezi ukasajili na hawa wakaendelea kuwepo,ina maana ni baadhi yao wauzwe mfano Sokratic,Saed na Mustafi ,ikumbukwe pia Luiz ana 12months tu,
Lakini pia upande wa RB kuna mashaka makubwa maana Hector hayupo ktk ubora mzuri.
Mzee ikitokea siku tuna uhakika wa kuchukua ndoo dunia itakuwa sio mahala salama pa kuishi, Haters watakosa raha snArsenal wamesema msimu ujao kombe lao


Mustafi sio beki mzee babaMustafi ana rekodi nzuri kuliko van Dijk. Huu ni mzuri ndiyo sababu mimi hua nasema tatizo letu ni kiungo. Siyo beki
Chief hapo mi nimeongelea kwa rekodi zaoMustafi sio beki mzee baba
Hector ameshaanza kuchoka na hana muda mrefu pale Arsenal kiwango chake cha sasa ni cha kubahatishaHector yule ukitupia beki nzuri za kati anarudi kwenye ubora wake,yule tusijejichanganya kuuza, maji tutaita mma km kwa Gnabry.
Tucheze formation gani tutoboe? Ingekua mimi napanga Auba, Martnell na Lacazette wawemo wote.Arsenal v Man City
FA Cup Semi-final at Wembley.
Arsenal will be in Red and White #arsenal #afcView attachment 1508845
Acha kumfananisha Kepa na upumbavu..Emiliano Martinez ana Save percentage ya 81% kwenye Premier League asilimia nyingi kuliko kipa yoyote kwenye EPL
Sio pazia kama Kepa jamaniView attachment 1508707
Hiyo ipo wazi hata Mhe.Rais anajuaEmiliano Martinez ana Save percentage ya 81% kwenye Premier League asilimia nyingi kuliko kipa yoyote kwenye EPL
Sio pazia kama Kepa jamaniView attachment 1508707
Umepotea sana mGUNNERZ khee kheee kheee kheeeeeeeeeee kheeeNasikia jana mliokota mdondo, hongereni sana, kazeni buti sasa kweny FA cup.




Anaanguka anguka sana, alafu leo anakufurahisha kesho anakukeraaaaaMustafi sio beki mzee baba
Martinelli injuredTucheze formation gani tutoboe? Ingekua mimi napanga Auba, Martnell na Lacazette wawemo wote.
Formation iwe 3 4 1 2. Hii 1 awe Auba 2 awe Martnell na Lacazette
4 itakua Ceballos, Torreira, Xhaka na Niles.
3 itakua Luiz, Holding na Sokratis.

Martinell hayupo ,taarifa Jana imetoka atatejea hadi mwishon mwa mwaka 2020Tucheze formation gani tutoboe? Ingekua mimi napanga Auba, Martnell na Lacazette wawemo wote.
Formation iwe 3 4 1 2. Hii 1 awe Auba 2 awe Martnell na Lacazette
4 itakua Ceballos, Torreira, Xhaka na Niles.
3 itakua Luiz, Holding na Sokratis.
Huyo Will lock nashangaa kwanini yupo uraiani mpaka muda huu???nilitegemea angekuwa lock up kwa kosa la uzurulaji....Martinell hayupo ,taarifa Jana imetoka atatejea hadi mwishon mwa mwaka 2020
Awali Arteta alienda na 4-4-2 ,tulikuwa compact had dk 40+ kabla luiz kuchoma
Mechi ya Jumamos , ni dhahiri tutaingia na
3-4-3
Nimesikia Cedric hatakuwepo sababu alishacheza FA na soton
So natarajia tuanze hivi
Martinez
Holding Mustafi Kolasinac
Bellerin Ceballos Xhaka. Kieran Tierny
Pepe. Laca Auba
Huu mfumo umekuwa unatusaidia kukaba na kuzuia kwa nidhamu , hata magoli tinayofungwa huwa ni individual error ,na sio structure
Ndio maana Arteta anahitaji Quality players
Sitapenda kuona Saka akianza upande wa Pepe , labda aanze kama LWB na KT acheze kwa Kolasinac
Utaratibu ni ule ule kupress , ni dhahiri hatutaweza kupossess mpira , hivo tutahitaji kutumia kaunta na kuwa press na kutumia nafasi ,mwisho tukabe kwa nidhamu
Hofu yangu ipo kwenye Sub tu, Anapoingia Willock, yeye hapossess zaid anazurula tu,
Kuanzia Auba ,laca ,pepe ,wamekuwa wanarud kusaidia kukaba , tofauti na akiingia Willock
Hii mechi ni ya lacazette
Mkuu si unajua tena tangu Pof alipoondoka wengine tulichukia likizo lakini karibu itaisha. Tupo tunachungulia kwa chati. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeUmepotea sana mGUNNERZ khee kheee kheee kheeeeeeeeeee kheee![]()