Next season kama Liva ni hii hii (as sijaona usajili) mjiandae.Tukutane msimu ujao first round tukiwa na njaa ya ushindi.
Otherwise, congrats.
Kuna huyo, Saliba, Mari, Luiz, Sokratis, Mustafi wote hao ni CB na bado tunaaminishwa eti tunahitaji mabeki na sisi tunakubali.
Next season kama Liva ni hii hii (as sijaona usajili) mjiandae.
Kiungo cha Liva ni strong kinasapoti defense vizuri kikichanganyikiwa hiki na mwamba unatikiswa vizuri tu na unagundua kumbe Virgil ni overrated.Nadhani kocha anayaona haya mapungufu, tutayarekebisha.
Dirisha linafunguliwa mwezi huu mwishoni na kufungwa October.
Hahaa we muzee uzuri tuliambiana mapema! Kale kakomenti nilikokahifadhi kwa matumizi ya baadaye inabidi nikakafufue sasa,au unaonaje?Nadhani kocha anayaona haya mapungufu, tutayarekebisha.
Dirisha linafunguliwa mwezi huu mwishoni na kufungwa October.
Hahaa we muzee uzuri tuliambiana mapema! Kale kakomenti nilikokahifadhi kwa matumizi ya baadaye inabidi nikakafufue sasa,au unaonaje?
Hata mimi nilishangaa. ina tofauti gani na ile iliyopelekea redcard ya Nketiah? Sema Saka angeitegenezea mazingira, ingetoka redEti hii ni yelow card ingekua kafanya yeye ungeambiwa ni serious foul na red card na VAR ingesimamia kidete na kuichunguza. Arnod yeye kapiga kilia na kushoto lakini kapewa kadi ya njano na wala haikuchunguzwa
VAR ni kitukoView attachment 1508146
Hii mibosi yetu inaweza ikarelax ngoja tushinde na hizi gemu ndogo ndogo zilizobaki kwa idadi kubwa ya magoli uone.Wanaweza kufikiri hapo tushakuwa bora kuliko Liverpool.Reporter: "Do you have the finances you'll need?"
Arteta: "I don't know."
Reporter: "Is that not a concern?"
Arteta: "Big concern, there is no magic to build a squad. You need to improve with quality quality players."
ALL EYES ON THE HIERARCHY.
Umeniuzia game kaka?? Maana hata sielewi hahahahaLeo ndiyo leo wakuu, letu moja tu. Kumaliza ligi kwa kuwafunga nje ndani.
Umeniuzia game kaka?? Maana hata sielewi hahahaha
Na itabaki hivyo for many many many years to comeTimu moja pekee iliyobeba kombe bila kupoteza hata mechi moja..... PIGIA MSTARI
Na tutajivunia hili mileleAiseeeehhhhView attachment 1508004
Na itabaki hivyo for many many many years to come
I agree.Probably in our generation haitakuja kuvunjwa.
Nkentiah aligongwa red card Kwa tackle Kama hiyoEti hii ni yelow card ingekua kafanya yeye ungeambiwa ni serious foul na red card na VAR ingesimamia kidete na kuichunguza. Arnod yeye kapiga kilia na kushoto lakini kapewa kadi ya njano na wala haikuchunguzwa
VAR ni kitukoView attachment 1508146
I agree.
Unajua Nottingham forest waliweka hii rikodi lakini not in our generation.