Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwanini Guendouzi unamuita mgunduz???
 
Hii team bure kabisa eti mchezaji sakatonge ligazeti
 
Hii team kuanzia wachezaji hadi mashabiki zake wote ni viazi
 
Emery alikua anatumia 3 4 1 2 watu humu wakajifanya kuongea sana kua timu inalazimishwa kukaba, wakiongozwa na Ozil.

Leo hii timu yetu inatumia formation hii hii na sioni anayesema timu inakaba. Tuache ushabiki wa hovyo, tushabikie mpira.
Wala tusiwe na chuki na watu.
 
Nani mwingine anakubaliana na mimi kwamba tunahitaji viungo na forward? Yaani tunamhitaji Coutinho, Partey, Jovic
Kuwa na akili tiamamu ww countinho partey jovic hawawezi chezea team hovyo na takataka kama asenane team kwenda europa tu inashindwa ww shabiki na team yenu nyote ni viazi
 
Nani mwingine anakubaliana na mimi kwamba tunahitaji viungo na forward? Yaani tunamhitaji Coutinho, Partey, Jovic
Yule Mustafi yupo kama maua ya saa 4 ,yananyauka na kuchanua


Huyu Kolasinac ni wa kuuza au kutoa hata bure,
huyu ndio aliyepiga back pass isiyo na macho kwa Luiz jamaa wakapata goli la zawadi,hovyo kabisa

Pepe tumpe muda,

Auba,Laca
ila anahitajika striker mwingine wa kiwango cha juu pale mbele.

Hector hafai kuanza kwa sasa mizinguo sana.

Timu bado ina kikosi finyu sana hao walioanza wengi wanatakiwa waanzie bench,
 

Kocha hajapata muda wa kukaa na wachezaji vizuri, wakizoeana timu itasumbua sana kwenye kuwania kucheza Europa.

Bakieni na hao hao wachezaji, watawasidieni .
 
Ww ndundule unazunguka sana unatakiwa useme kwa kifupi team yangu ni takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…